Pia Na Hilo Uliloandika,,Yote Kheri Tu.Inakuwaje kheri wakati Katiba ya JMT ya mwaka 1977 toleo la 2000 inasema Tanzania is a secular state? Secular state maana yake nchi haina dini.
Halafu kumbuka Wakristo Tanzania ni 55%, Waislamu 40% na dini ndogo ndogo na Wapagani ni 5%
Huu ukristo tulio nao sasa ni kinyume na hayo ni ukristo wa kishenzi wa kufukarisha wahuni wachache wanao Jidai utume na unabii kumbe ni wezi ...upendo gani wa kufilisi mali za familia za wengine tumia akili dini zipo mikononi mwa wahuni na wahalifu kitambo sanaHuo msimamo ni wa mtu mjinga..faida za ukristo-kupenda kufanya kazi, kujali wengine, kujitegemea sio kuomba omba..kinyume chake ni kwa dini tofauti na ukristo..
Acha unafiki!
amemuua mama yako?Magaidi
Hao mitume na manabii wengi wako wapi? Dar sana na arusha..kwa hivyo hizo sehemu mbili ndio zina wakristo wote Tanzania?Huu ukristo tulio nao sasa ni kinyume na hayo ni ukristo wa kishenzi wa kufukarisha wahuni wachache wanao Jidai utume na unabii kumbe ni wezi ...upendo gani wa kufilisi mali za familia za wengine tumia akili dini zipo mikononi mwa wahuni na wahalifu kitambo sana
Hata wasio jihita mitume ni wale wale tu madhehebu ya dini yote ni upotovu mtupuHao mitume na manabii wengi wako wapi? Dar sana na arusha..kwa hivyo hizo sehemu mbili ndio zina wakristo wote Tanzania?
This is fact intelligence way to suppress Prof JanabiCrocodile mganangwa haijui kweli Tanzania na amefundishiwa mambo bagamoyo hapo....... Waziri huyo atakuwa katumwa hivyo .....na janab ndo hashindi tena
Ila pia kuna siri nyuma ya hili just keep silenceView attachment 3274634
Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.
Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.
Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Hiki ndicho CCM wanachokitaka hata Ramani ya Tanzania inayotaka kubadilishwa itakuwa inataja kuwa sasa Tanzania ni MUSLIM STATE.View attachment 3274634
Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.
Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.
Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Hilo halitokaa litokee labda wafute wakristo wote nchiniHiki ndicho CCM wanachokitaka hata Ramani ya Tanzania inayotaka kubadilishwa itakuwa inataja kuwa sasa Tanzania ni MUSLIM STATE.
Hapana wapi ninyi mnafikiri ni mchezo endeleeni kuifagilia ccm mpaka pale mtakapotawaliwa na Waarabu ndiyo mtashtuka.Hii hapana, aombe radhi
Ulikuwepo kipindi cha Mwinyi???Unakumbuka yaliyokuwa yanatendeka??Hilo halitokaa litokee labda wafute wakristo wote nchini
Lkn mwisho wa siku ilikuaje..!?Ulikuwepo kipindi cha Mwinyi???Unakumbuka yaliyokuwa yanatendeka??
Misikiti ilijengwa Tanzania nzimaLkn mwisho wa siku ilikuaje..!?
Hatuwezi kuongozwa na watu wenye akili ndogo kama wale ata wakigeuza majengo yote nchini kuwa misikitiMisikiti ilijengwa Tanzania nzima