Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

Wairani na Mahouthiy wote ni mashia na wote ni I makafiri.
Bila Irani mahouthiy wasingepata nguvu ya kufanya vurugu zao huko Yemen!
Mashia ndio mama wa mahouthiy kwahiyo Irani kujiita jamhuri ya kiislamu na kujifanya kama vile wana msimamo mkali wa kidini ni mbinu tu ya kueneza ukafiri katika jamii ya waislamu. Mashia ni makafiri na Irani ndio makao makuu ya mashia kimataifa na makafiri wa kishia dunia nzima wanapata nguvu toka kwa hiyo jamhuri ya kikafiri ya Irani!.
Hata Waislamu wenye Uiislamu wao mnawaita MAKAFIRI? Yaani wewe muislamu wa Buza Makangarwe unakosoa Uislamu wa Iran?
 
Kwakuwa wairani sio waislamu Irani sio jamhuri ya kiislamu. Wamejipachika jina la kiislamu ili kuwapoteza waislamu, na mtu yeyote ambaye siyo muislamu mtu huyo ni kafiri ndio maana nikasema Irani ni jamhuri ya kikafiri.
Kwa tafsiri hiyo hata wewe Chifu mkuu ni KAFIRI tu. Yaani wewe Muislamu wa Buza Makngarawe uwakosoe Wairan?? Acheni mzaha bana
 
Hata Waislamu wenye Uiislamu wao mnawaita MAKAFIRI? Yaani wewe muislamu wa Buza Makangarwe unakosoa Uislamu wa Iran?
Dunia nzima Quran ya waislamu ni Moja kwahiyo kinachozingatiwa ni kuzungumza jambo kwa misingi ya elimu ama swala la mtu anaishi wapi halina mashiko!
Mimi kusema Wairani siyo waislamu sikukurupuka bali ni kwa kulingana na yaliyoandikwa na wanachuoni wakubwa kimataifa wanaotoka katika nchi zilizoendelea kidini na kidunia kama Saudi Arabia, Yemen, Misri (Egypt) Syria nk.
Mimi sio mkurupukaji kusema maneno ambayo wasomi wa dini jawajayathibitisha na pia Mimi siishi BUZA bali kwa sasa naishi MOSHI MJINI MKOA WA KILIMANJARO.
 
Kalalamikie hako kabibi kako ka Kizimkazi, in case you didn't know hivyo ndivyo wanavyojitambulisha 'huko nje' wanapokuwa hao ndugu

Ndiyo wanavyojitambulisha, don't blame them. Peleka lawama Kizimkazi japo haitakusaidia kwani directives zinatoka huko. Ndugu zangu katika imani tuko vizuri because seriously you can't be that fool to believe it's a mistake kwani wangefikishiwa ujumbe warekebishe, hata kama uko slow in thinking and analysing kimya cha kuacha iendelee kubaki kama ilivyo linapaswa kukupa majibu. Put it in your imagination ingekuwa imeandikwa Jamhuri ya Kikristo same day ingefutwa na wange-apologize na ingedaiwa Papa anahusika au Trump au beberu mwingine yoyote na hapo ndipo ungeyajua mabaraza yetu katika imani yanavyojua kupiga kelele.
Hizi dini ni bora zifutwe zote, zimeletwa na matapeli na sasa zinawatenganisha raia.
Mbona walikwisha edit!! Soma hapa:-

Screenshot_20250319_144526_Facebook.jpg
 
View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Hii siyo typing error bali ni makusudi
 
Hii shida yako sasa imeitwa ya kiislamu na hakuna kiungo chako kimepungua, na hakuna kitu utamfanya yule jamaa wa Zimbabwe
nchi haiwezi kuitwa jamhuri ya kiislam katiba ya nchi haitamki upuuzi huo. Itakuwa wazimbabwe wamechukua hesabu ya zanzibar na kuona waislam ni wengi karibu nchi nzima wakajua Tanzania nzima ni hivyo au wameona kila mtaa kuna msikiti mpaka mingine imejengwa porini huko vijijini na hakuna wa kuswali wakajua hii nchi ni ya kiislam kumbe kuna uhuru tu wa kuabudu hata mizuka, majini na mashetani. Kuitwa jamhuri ya kiislam haikubaliki
 
View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Sioni Tatizo lolote ...
 
Huyo member anayeandika Iran ni jamhuri ya kikafiri si jamhuri ya kiislam kama inavyojiita. Kwani nchi jamhuri za kiislam ni zipi ikiwa Iran si jamhuri ya kiislam?
 
Hii sio kweli..haliwezi kutokea kosa kama hilo. Kuna watu wenye CHUKI ya UDINI ndio kazi yao hiyo.

Ushauri;
Ndugu zangu wenye CHUKI na dini za wengine acheni chuki kwani chuki ni ugonjwa mbaya sana....utakufa mapema. Kila raia wa nchi hii anayo haki sawa na mwengine. tuache chokochoko za kidini.
 
Back
Top Bottom