Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Wazee wa mapambio kwa mama kila kitu mama hili nalo wajitokeze waseme tunamshukuru mama kwa kuifanya Tanzania kuwa Jamuhuri ya Kiislamu.
 
Hiyo ndio ajenda ya siri ya wateule wenu kuunadi uislam kupitia serkali yenu. Mzee hahakosea zaidi tu ni kwamba amevujisha code za Samia.
Code na masharti ya DP world,kwahiyo hiyo bahari iigawe Tanzania nje ya congo twende zetu UEA
 
Sasa Bagamoyo ndo jamhuri yenyewe ya Kiislamu. labda ungesema alifundishwa huko Moshi au Bukoba kwa wakatoliki.

Lakini mimi sioni ubaya Tanzania kuwa Jamhuri ya Kiislamu.
shauri Yako dogo ,wasalimie bunju b hapo
 
Kimsingi nchi ni ya KIPAGANI ila raia wake ndiyo wana dini kama Wakristu 55%, Waislamu 40%, imani ndogondogo kama Budha, Hinduism, Bahai etc 5%
Hakuna shida yeyote kwasababu hakuna hata kipande cha ardhi kitapotea zaidi ya makelele ya mitandaoni , kimsingi amesema na hakuna kitu kitapungua hapa nchini Tanzania
 
nchi haiwezi kuitwa jamhuri ya kiislam katiba ya nchi haitamki upuuzi huo. Itakuwa wazimbabwe wamechukua hesabu ya zanzibar na kuona waislam ni wengi karibu nchi nzima wakajua Tanzania nzima ni hivyo au wameona kila mtaa kuna msikiti mpaka mingine imejengwa porini huko vijijini na hakuna wa kuswali wakajua hii nchi ni ya kiislam kumbe kuna uhuru tu wa kuabudu hata mizuka, majini na mashetani. Kuitwa jamhuri ya kiislam haikubaliki
Kwani Mnangagwa akisema ndio katiba yetu imesema? shida ya nchi hii ni kuendekeza vitu vya kijinga jinga sana
 
Jitu lina miaka 82, bado linangangania madaraka tu. Lenyewe linajidai lina ajenda 2030. Huu ukhanithi utaendelea mpaka lini Africa. ?
 
View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Hayo majina yamewachanganya 🤣
 
Walioenda ndio wamemwambia hii nchi imeshakuwa Islamic republic
Kwa Sasa Kuna maeneo kupata huduma nzuri hadi useme salamaleku
 
How comes Dini iliyoingia nchini karne ya 7.. Iwe sawa na dini iliyokuja karne ya 19 😂😂😂.. uislam una mizizi mirefu Tanzania. kuanzia kwenye siasa. michezo nk... Ziangalie hata simba na Yanga
Nenda kasome ripoti ya sensa acha kujidanganya na dini ya kigaidi
 
View attachment 3274634

Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.

Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama Jamhuri ya Kiislamu ni kosa kubwa kwa watumishi wanaosimamia akaunti ya social media ya Rais Emerson Mnangagwa.

Nashauri Wizara ya Mambo ya Nje iwalazimishe Ikulu ya Zimbabwe watuombe radhi.
Kuna kitu kinapikwa hapa, sio bure hii.
 
Kwani Mnangagwa akisema ndio katiba yetu imesema? shida ya nchi hii ni kuendekeza vitu vya kijinga jinga sana
hatutaki udini udini, kila mtu ana dini yake akaiabudu kivyake huko kwenye majumba ya kuabudia. Hii ni secular state na sio islamic republic
 
Wako sahihi....maana nimeona hata lile soko jipya la kimataifa wachina pale ubungo limewekwa alama ya nyota na mwezi
 
Wewe na kichwa yako ya bata ndio utahadaika na namba za sensa... Ila wenzio huko USA wanajua actual numbers.. ndio maana Trump alipo_ban nchi zenye waislamu wengi na Tanzania ikawemo... sasa wewe endelea kuhadaika na sensa 😂😂😂
Weka list ya banned countries hapa kenge wewe!! Tanzania haipo!! Kumbe nyie Waislamu mnasikia sifa kuitwa magaidi!!

Screenshot_20250321_084954_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom