To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Katia huruma.,,,Jifiche sana kwenye kanisa la kilokole ila mbinguni utajibia pekeyakoShida ni watu wakusifia bila kujenga hoja..
Linapokuja swala la hoja lazma waangukie Pua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katia huruma.,,,Jifiche sana kwenye kanisa la kilokole ila mbinguni utajibia pekeyakoShida ni watu wakusifia bila kujenga hoja..
Linapokuja swala la hoja lazma waangukie Pua
Aisee hatari sanaaaNi kiongozi ambaye amekuwa kwenye Uongozi wa Maamuzi Kwa muda mrefu sana toka akiwa DC,RC sasa ni MP...
Inafikirisha sana
Ita upendavyo.Hivi anachokifanya Lema na Mdude kwenye mitandao tuite ni nini?
Na hivhi kinachosemwa hapa vinarelate vipi ?Hawa ni wasemaji wa CDM walipotishwa na chama ,ndio maana hakuna hata siku moja chama kilishawahi kukana mapovu ya hawa watu wawili
Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..
Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
Hoja ipi kajibu kwa umakini??huo ndio umakini sasa,
kiongozi anapaswa kujibu hoja kwa umakini, tofauti na utakavyo au upendavyo wewe mwenye majibu yako mfukoni 🐒
Wabunge wote kabisa hamna kitu, afadhali hata Yule anayepigia debe kilimo cha BangiWabunge wengi wa CCM ndivyo walivyo, hawana uwezo wa kujenga hoja wao wameshazoea "ndiooo" na mipasho..
kakwepa matarajio na majibu ya wenye majibu yao mfukoni 🐒Hoja ipi kajibu kwa umakini??
Zote kapuyanga..
aibu naona mimi!anaulizwa A anajibu BAlipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..
Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
Sijaona alichojieleza..kakwepa matarajio na majibu ya wenye majibu yao mfukoni 🐒
kurate kama kajibu kwa umakini ama laa yanabaki kua maoni na mtazamo binafs wa kila moja 🐒
but big win for Gambo,
amejieleza vizuri na kwakweli he deserves second term 🐒
yote aloyaeleza mwerevu mbunge, na kwenda kinyume na ulichotarajia wewe na huenda pamoja na mwandishi, huo ndio hasa uzuri wa majibu yake 🐒Sijaona alichojieleza..
Haya lets say kuna majibu kayajibu vixui bila kujali pande ya majibu Hebu Niambie yapi kayajibu Vizuri tuchambue
Tuanze moja moja..yote aloyaeleza mwerevu mbunge, na kwenda kinyume na ulichotarajia wewe na huenda pamoja na mwandishi, huo ndio hasa uzuri wa majibu yake 🐒
UMESIKILIZA UKAONA KASHINDWA KUTETEA HOJA ZAKE? KASEMA UKWELI LEMA NI MWIZI NA ANAUSHAHIDI WA WATU ALIOWADHURUMU SASA AMESHINDWA WAPI KUJIBU? YAANI UNAONYESHA NI JINSI GANI ULIVYO MPUMBAVU HADHARANI WENZIO WANAFICHA KIDOGOAlipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..
Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
Umesikiliza mpaka Mwisho Video niliyoweka?UMESIKILIZA UKAONA KASHINDWA KUTETEA HOJA ZAKE? KASEMA UKWELI LEMA NI MWIZI NA ANAUSHAHIDI WA WATU ALIOWADHURUMU SASA AMESHINDWA WAPI KUJIBU? YAANI UNAONYESHA NI JINSI GANI ULIVYO MPUMBAVU HADHARANI WENZIO WANAFICHA KIDOGO
Atleast umesema kweli kabisaGambo na James Mbowe hawakustahili kuhojiwa na Odemba. Uwezo wao ni mdogo
Tuanze na Swali la comment #78..UMESIKILIZA UKAONA KASHINDWA KUTETEA HOJA ZAKE? KASEMA UKWELI LEMA NI MWIZI NA ANAUSHAHIDI WA WATU ALIOWADHURUMU SASA AMESHINDWA WAPI KUJIBU? YAANI UNAONYESHA NI JINSI GANI ULIVYO MPUMBAVU HADHARANI WENZIO WANAFICHA KIDOGO