Kituko: Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo abanwa maswali na Mtangazaji wa StarTv na kushindwa kutetea Kauli zake, Wabunge wafundishwe kujenga Hoja..

Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..

Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo

huo ndio umakini sasa,
kiongozi anapaswa kujibu hoja kwa umakini, tofauti na utakavyo au upendavyo wewe mwenye majibu yako mfukoni 🐒
 
Hoja ipi kajibu kwa umakini??
Zote kapuyanga..
kakwepa matarajio na majibu ya wenye majibu yao mfukoni 🐒

kurate kama kajibu kwa umakini ama laa yanabaki kua maoni na mtazamo binafs wa kila moja 🐒

but big win for Gambo,
amejieleza vizuri na kwakweli he deserves second term 🐒
 
Sijaona alichojieleza..
Haya lets say kuna majibu kayajibu vixui bila kujali pande ya majibu Hebu Niambie yapi kayajibu Vizuri tuchambue
 
yote aloyaeleza mwerevu mbunge, na kwenda kinyume na ulichotarajia wewe na huenda pamoja na mwandishi, huo ndio hasa uzuri wa majibu yake 🐒
Tuanze moja moja..
Ameelza vipi Mbunge wa zamani amechangia Arusha kutoendelea??
 
Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..

Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo

UMESIKILIZA UKAONA KASHINDWA KUTETEA HOJA ZAKE? KASEMA UKWELI LEMA NI MWIZI NA ANAUSHAHIDI WA WATU ALIOWADHURUMU SASA AMESHINDWA WAPI KUJIBU? YAANI UNAONYESHA NI JINSI GANI ULIVYO MPUMBAVU HADHARANI WENZIO WANAFICHA KIDOGO
 
Umesikiliza mpaka Mwisho Video niliyoweka?
Kuna mahali amesema Lema ni mwizi?
Au mkuu unazungumzia Kipande kingine cha Video?

Nani alitakiwa kuficha Upumbavu kati yangu na wewe?
 
UMESIKILIZA UKAONA KASHINDWA KUTETEA HOJA ZAKE? KASEMA UKWELI LEMA NI MWIZI NA ANAUSHAHIDI WA WATU ALIOWADHURUMU SASA AMESHINDWA WAPI KUJIBU? YAANI UNAONYESHA NI JINSI GANI ULIVYO MPUMBAVU HADHARANI WENZIO WANAFICHA KIDOGO
Tuanze na Swali la comment #78..
Kulingana na Video
Uwanja wako sasa
 
Back
Top Bottom