Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa sana .. Hii ni kaswende mupya inaanza kugegeda mavu.zi yote then inahamia kwenye kabangSoma post yangu vizuri, sio unakurupuka tu.
Sio kwenye uke, ni hapa mbele panapoota mavuzi, mweeh!
Ukienda kwa daktari yeye atajua akupime nini. Ila uvae teitei nzuri manake lazma uchunguliwe.
Ndio hapo sasa. Kama niutamu bola auwache tu maana wenzie wanahangaika kuutafuta utamu yeye ana upiga vita.Mpaka unajisikia utamu??? Loh!
Umeshasema umeenda hosp hakuna ugonjwa ulioonekana sasa tukushauri nini. Lakini mara nyingine fangas zinakuwaga kwa ndani,sasa sijui kama ulifanya vipimo vya damu. Lakini pia kuna kitu ALEJI nayo inaweza ikawa chanzo cha kujikuna kwako hebu fanyia uchunguzi na hilo. Labda kuna baadhi ya mafuta,marashi bu hata vyakula huendani navyo. Kwa mfano mimi nikila samaki wa aina fulani mfurulizo huwa nawashwa kwenye miguu...pole sana.
...itakuwa ni aina ya fangasi wa kwenye ngozi. Kama utaweza oga maji ya baharini (kwa kuwa ni ya chumvi) huwa yanatibu vizuri magonjwa ya ngozi. Pole kwa kuumwa kitumbua.
Habarini wadau.
Sijui nielezeje ila ni kwamba najikuna sana hapa mbele (kwenye kitumbua) panapoota nywele.
Nimepima sina fangasi, ugonjwa wa ngozi na wala sina harara.
Nikinyoa,nisiponyoa hali ni ileile.
Ila najikuna sana mpaka nasikia utamu.
Wataalamu, nikapime kipimo gani?
Kumbuka ni mwaka sasa hili tatizo lipo.