Kitumbua cha Bibi (PAPUCHI) kuwasha sana, nini tatizo?

Umeshasema umeenda hosp hakuna ugonjwa ulioonekana sasa tukushauri nini. Lakini mara nyingine fangas zinakuwaga kwa ndani,sasa sijui kama ulifanya vipimo vya damu. Lakini pia kuna kitu ALEJI nayo inaweza ikawa chanzo cha kujikuna kwako hebu fanyia uchunguzi na hilo. Labda kuna baadhi ya mafuta,marashi bu hata vyakula huendani navyo. Kwa mfano mimi nikila samaki wa aina fulani mfurulizo huwa nawashwa kwenye miguu...pole sana.
 
...itakuwa ni aina ya fangasi wa kwenye ngozi. Kama utaweza oga maji ya baharini (kwa kuwa ni ya chumvi) huwa yanatibu vizuri magonjwa ya ngozi. Pole kwa kuumwa kitumbua.
 
Chunguza sabuni, mafuta au lotion unazotumia, inawezekana kimekupa mzio/allergy flani

Poolee mama.
 
Ulianza vibaya, ila umemalizia vizuri.
Asante kwa ushauri wako.
Ni kwamba nimepima kila kitu, sina mzio,wala fangasi,wala harara.
Ila nashangaa nawashwa sana.
 
...itakuwa ni aina ya fangasi wa kwenye ngozi. Kama utaweza oga maji ya baharini (kwa kuwa ni ya chumvi) huwa yanatibu vizuri magonjwa ya ngozi. Pole kwa kuumwa kitumbua.

Asante.
Ila sina ugonjwa wowote wa ngozi kwa maana nimepima.
Na kitumbua kinawasha sana.
 
Unaumwa ugonjwa mzuri.Ukijikuna unapata utamu!!
Mara ya mwisho kupiga game lini? Isije kuwa papuchi imemiss kitu!
 
Chunguza sabuni, mafuta au lotion unazotumia, inawezekana kimekupa mzio/allergy flani

Poolee mama.

Asante sana KOKUTONA Mpenzi,
ila nimeenda cheki mzio,ni kwamba sina.
Labda kitu kimoja, kuna cream nilikuwa naipaka hyo sehemu tu, labda ndio chanzo.
 
Last edited by a moderator:
Unaumwa ugonjwa mzuri.Ukijikuna unapata utamu!!
Mara ya mwisho kupiga game lini? Isije kuwa papuchi imemiss kitu!

Shemeji, ni pale juu juu.
Sio huko ndani.
Game kila siku linapigwa uwanja wa nyumbani.
 
Habarini wadau.
Sijui nielezeje ila ni kwamba najikuna sana hapa mbele (kwenye kitumbua) panapoota nywele.
Nimepima sina fangasi, ugonjwa wa ngozi na wala sina harara.
Nikinyoa,nisiponyoa hali ni ileile.
Ila najikuna sana mpaka nasikia utamu.

Wataalamu, nikapime kipimo gani?
Kumbuka ni mwaka sasa hili tatizo lipo.

mmmh mpaka unasikia utamu..nakushauri endelea huna tatizo kabisa,labda uongeze saizi ya kikunio,acha tumia mkono kuna fagio la chelewa ni kikunio kizuri jaribu hicho ili upate raha zote
 
Back
Top Bottom