Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 213
- 671
Kupata taarifa zote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Katika hali isiyokuwa ya kawaida inadaiwa kuwa masanduku matatu (3) ya kura zilizopigwa yamekutwa kwenye chumba cha kupigia kura majira ya saa 12 asubuhi ya leo, Jumatano Novemba 27.2024, ikiwa ni kabla hata ya muda wa kikanuni wa kuanza zoezi la kupiga kura ambao ni saa 02:00 asubuhiInadaiwa kuwa, sintofahamu hiyo imetokea kwenye kituo cha Lugalo, jimbo la Kawe, wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam