LGE2024 Kituo cha Kupigia Kura cha Lugalo, Kawe chakutwa na Maboksi ya Kura zilizopigwa kabla ya muda wa kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
213
Reaction score
671

Kupata taarifa zote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Katika hali isiyokuwa ya kawaida inadaiwa kuwa masanduku matatu (3) ya kura zilizopigwa yamekutwa kwenye chumba cha kupigia kura majira ya saa 12 asubuhi ya leo, Jumatano Novemba 27.2024, ikiwa ni kabla hata ya muda wa kikanuni wa kuanza zoezi la kupiga kura ambao ni saa 02:00 asubuhiInadaiwa kuwa, sintofahamu hiyo imetokea kwenye kituo cha Lugalo, jimbo la Kawe, wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam
 
Chama Mfu ccm
View attachment 3162893

Vita,chuki,ugomvi inaletwa na maccm.viongozi wajipange sana kuyadhibiti hayo majitu.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida inadaiwa kuwa masanduku matatu (3) ya kura zilizopigwa yamekutwa kwenye chumba cha kupigia kura majira ya saa 12 asubuhi ya leo, Jumatano Novemba 27.2024, ikiwa ni kabla hata ya muda wa kikanuni wa kuanza zoezi la kupiga kura ambao ni saa 02:00 asubuhi

Inadaiwa kuwa, sintofahamu hiyo imetokea kwenye kituo cha Lugalo, jimbo la Kawe, wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam
 
CCM wengi ni Wapumbavu mnooooo
 
Back
Top Bottom