Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Tanroads walitakiwa watengeneze barabara two way kuanzia vikindu kupiti Gongolamboto hadi Mbezi ujenzi wake ungeenda sambamba na staendi kuwaondolea kero wananchiNajiuliza bus za songea zinazopita njia ya kusini had kufika mbezi lol.