mkuu kituo kilijengwa kwa nguvu na mahitaji ya wananchi wa eneo husika, matarajio yalikuwa ni kupata msaada unaohitajika kutoka kwa mapolisi wataopangiwa kufanya kazi ktk kituo hicho.
haijalishi watawakamata wananchi wote au watawapiga risasi, muhimu huduma waliotegemea kutoka kwenye hicho kituo hawajaipata au imekuwa kinyume chake ndio maana wamekichoma moto lengo lao kisiwepo kbs.
kuchomwa moto kwa kituo cha polisi lazima kuna uonevu au kunyimwa haki kwa wananchi kwa kutumia visheria.
kufanya kazi bila kutumia akili+tamaa inanikumbusha kesi ya gaidi mbowe'