Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Nisikilize mkuu.Mkuu wewe huwezi kuwa mpayuki....
Hivi polisi si mali ya TZ?
Hivi kituo cha Polisi si Mali yetu watanzania?!!!
Kuchoma Mali ya watanzania ni halali?!!!!
Uonevu unazidi na hakuna mtetezi, watu huamua kujitetea, huko ndiko kupaza sauti kujitetea