Kituo cha Polisi Kitunda Mkoani Tabora kimechomwa moto na wananchi wenye hasira

Kituo cha Polisi Kitunda Mkoani Tabora kimechomwa moto na wananchi wenye hasira

Wanatuona nyani tu!
Naona nyani wameanza kutoka usingizini
 
Kwahiyo kama polisi hawatendi haki dawa ni kuchoma kituo cha polisi? Unafahamu madhara yatakayokuja baada ya kukosa kituo cha polisi?
Sisapoti kwa njia yoyote kwa raia yoyote wa Jamhuri kujichukulia sheria mikononi lakini tujiulize tumefikaje huku iundwe tume iangalie wapi panafeli.
 
sasa kituo na gari vimehusikaje na madai yao[emoji23][emoji23][emoji23].

kwamba wanawakomoa polisi hapa.
umasikini+stress=kichaa.
 
sasa kituo na gari vimehusikaje na madai yao[emoji23][emoji23][emoji23].

kwamba wanawakomoa polisi hapa.
umasikini+stress=kichaa.

Kama gari ilikuwa inafukuza wahalifu mtaani na kuwa weka sehemu salama,
ikitokea vurugu hiyo bhas wahalifu wataitia moto Gari ili isiwafuate fuate mtaani.
 
Kama gari ilikuwa inafukuza wahalifu mtaani na kuwa weka sehemu salama,
ikitokea vurugu hiyo bhas wahalifu wataitia moto Gari ili isiwafuate fuate mtaani.
hapa hasara ni kwa wananchi wenyewe hawawakomoi polisi.
 
Mkuu wa kituo cha polisi Kitunda amekimbia baada ya kunusurika kuuawa na wananchi wenye hasira.

Katika tukio hilo la jana Septemba 18, gari la askari polisi na kituo cha polisi kimechomwa moto.

IGP hana habari!
Watu wamechoka sana tena ile mikoa mipole kama Lindi, Mtwara na Tabora, sijui kule Arusha na Mara nini kimetokea!
 
Hadi sasa Jeshi la polisi halijakubali au kukanusha Taarifa hii.
 
Waendelee kuishi kama digidigi ila watajuta kuzaliwa wakikamatwa. Unachoma kituo cha polisi moto..
mkuu kituo kilijengwa kwa nguvu na mahitaji ya wananchi wa eneo husika, matarajio yalikuwa ni kupata msaada unaohitajika kutoka kwa mapolisi wataopangiwa kufanya kazi ktk kituo hicho.
haijalishi watawakamata wananchi wote au watawapiga risasi, muhimu huduma waliotegemea kutoka kwenye hicho kituo hawajaipata au imekuwa kinyume chake ndio maana wamekichoma moto lengo lao kisiwepo kbs.

kuchomwa moto kwa kituo cha polisi lazima kuna uonevu au kunyimwa haki kwa wananchi kwa kutumia visheria.

kufanya kazi bila kutumia akili+tamaa inanikumbusha kesi ya gaidi mbowe'
 
Back
Top Bottom