Kituo cha Polisi Kitunda Mkoani Tabora kimechomwa moto na wananchi wenye hasira

Kituo cha Polisi Kitunda Mkoani Tabora kimechomwa moto na wananchi wenye hasira

Reason behind?
Mkuu wa kituo cha polisi kitunda , amekimbia baada ya kunusurika kuuwawa na wananchi wenye hasira Jana.
Katika tukio hilo, gari la askari polisi na kituo cha polisi kimechomwa moto .
IGP hana habari !!!
 
Tunakoelekea ni Tanzania ya neema ila ili uipate neema kuna sadaka ya mwanakondoo kumwaga damu msalabani[emoji25][emoji25][emoji25]
Imani za kufikirika....

Tanzania ni zaidi ya hizo imani zenu....

Paaambaaaav

#Punda Afe Mzigo Ufike[emoji120]

#Mzigo Ni Usalama Na Utulivu wa JMT[emoji120]
 
Wasiachwe hao....

Mfano mbaya huo...

Unafanye Ugaidi wa kiwango hicho?!!!
 
How come kituo cha polisi kinachomwa moto na IGP Hana habari?

Kuna picha hapo tuone?

Habari hii italeta mashaka Kwa raia, kama wakubwa hawana Habari za tukio Hilo je Kwa walalahoi tukivamiwa itakuwaje?
Ni lugha tu ya uandishi haiwezekan awe hana taarifa.
Ni sawa na mtu aseme familia yako imelala njaa we unakula tu raha huna habari
 
Back
Top Bottom