Kituo cha Polisi Kitunda Mkoani Tabora kimechomwa moto na wananchi wenye hasira

Kituo cha Polisi Kitunda Mkoani Tabora kimechomwa moto na wananchi wenye hasira

Operesheni Kitunda itatangazwa Nchi nzima. Pokisi wetu wataanza Kitunda na kumalizia nchi nzima kuwasaka wote hata wachuuzi wa barabarani karibia na Vituo hivyo.

Watatakitunda kweli kweli, I mean watakoma kweli kweli watu wa Kitunda.
 
Mkuu wa kituo cha polisi Kitunda amekimbia baada ya kunusurika kuuawa na wananchi wenye hasira.

Katika tukio hilo la jana Septemba 18, gari la askari polisi na kituo cha polisi kimechomwa moto.

IGP hana habari!
No wonder IGP Jana katoa Namba Mpya, huenda ya Zamani ilifungiwa usajili
 
Mkuu wa kituo cha polisi Kitunda amekimbia baada ya kunusurika kuuawa na wananchi wenye hasira.

Katika tukio hilo la jana Septemba 18, gari la askari polisi na kituo cha polisi kimechomwa moto.

IGP hana habari!
Safi sana. Wanatuona nyani tu.
 
How come kituo cha polisi kinachomwa moto na IGP Hana habari?

Kuna picha hapo tuone?

Habari hii italeta mashaka Kwa raia, kama wakubwa hawana Habari za tukio Hilo je Kwa walalahoi tukivamiwa itakuwaje?
Ana habari sana tu
Walichokuwa wanaogopa ndio hiki
Karibu tutaelewana
Haki haipotei bali huchelewa
 
Ana habari sana tu
Walichokuwa wanaogopa ndio hiki
Karibu tutaelewana
Haki haipotei bali huchelewa
Kuitafuta haki kunahusiana na nini na kuchoma kituo cha Polisi ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Ujinga huo...

Uchome kituo cha Polisi kisa kuitafuta haki yako ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Tutaelewana tu.
Hayo matumbo yenu yaliyovimbiwa kodi zetu mtazitapika kumbafu sana
 
Nkansi huko Kabwe,wanaume wamewakimbia,patrol inafanyika ya kufa mtu,wadada na wamama wameachwa na waume zao kwa muda usiojulikana,Kitunda nako bilashaka wanaume watakua wameshatokomea kusikojulikana.*
 
Tutaelewana tu.
Hayo matumbo yenu yaliyovimbiwa kodi zetu mtazitapika kumbafu sana
Mkuu wewe huwezi kuwa mpayuki....

Hivi polisi si mali ya TZ?

Hivi kituo cha Polisi si Mali yetu watanzania?!!!

Kuchoma Mali ya watanzania ni halali?!!!!
 
Back
Top Bottom