Kituo cha Polisi Kitunda Mkoani Tabora kimechomwa moto na wananchi wenye hasira

Hakuna lugha ya kupiga risasi watu wote Acha kuleta siasa kijana. Wahalifu waliochoma moto ndio watakaofikishwa kwenye vyombo vya sheria.
 
Polisi pigeni kijiji kizima, bila kufanya hivyo mtakuwa hamjatibu ugonjwa utaibukia sehemu nyingine.
 
Pale kuna machimbo ya dhahabu,kwa hali ilivyo kule polisi nadhani walikuwa wanaendeleza ule uhuni wao wakutaka mali za watu kwa nguvu.Yale ya mtwara na siku zote hata upeleke taarifa kwa nani hakuna msaada.Anyway tusubiri uchunguzi wao hao hao ambao nadhani ndo change cha tatizo
 
Ujinga huo...

Uchome kituo cha Polisi kisa kuitafuta haki yako ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Kuna nchi kuna wakati inafika hata vituo vya polisi huvioni
Huoni Haiti huko polisi wanakimbia kukaa vituoni....

Ova
 
Binadamu akisha fikia "tolerance limit" ndo haya yanatokea! Polisi wamezidi kunyanyasa wananchi, wacha waipatepate! Hata mimi ningekuwa hapo jirani, ningesaidia kuchoma!
 
Binadamu akisha fikia "tolerance limit" ndo haya yanatokea! Polisi wamezidi kunyanyasa wananchi, wacha waipatepate! Hata mimi ningekuwa hapo jirani, ningesaidia kuchoma!
Hapo bila shaka kuna mkono wa baadhi ya polisi ndani, vinginevyo risasi moja tu ingetosha kutawanya wote hao
 
Acheni kuwavambikiza raia kesi za kipumbavu mtachomwa Moto sna
 
Hatari sana kwa taasisi za wizara ya ndani
 
Askari kituo cha polisi kitunda ni wachimbaji wadogo
 
Polisi tendeni haki hii ni awake call kwamba wananchi wamechoshwa na tabia zenu umwamba ubabe kubambikia kesi rushwa mauaji dhuluma na maovu mengi mnayowatendea wale mnaotakiwa kuhakikisha usalama wao.
Wameanza na vituo vidogo msishangae mpaka vikubwa na nyie pia mkawa mashakani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…