Kituo Kikubwa Cha Mikutano "MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER." Kujengwa Jijini Arusha

Kituo Kikubwa Cha Mikutano "MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER." Kujengwa Jijini Arusha

Jiji la arusha halijapangiliwa na linasikitisha (sad city). Badala ya geneva of africa, lingeitwa shithole of africa
Mtazamo wako ni upi kama mwananchi mzalendo?
Na mji gani mwingine ambao unakaribia hata kwa the theluthi sifa za arusha kwa hapa nchini
 
Kilimanjaro na Iringa.
Kwanza nikurekebishe kilimanjaro ni mkoa mji ni moshi na bado Hizo ni manispaa au kwa lugha nyingine ni miji midogo ambayo kuisimamia ni rahisi
Ongelea majiji ambayo ni dar, mwanza, dodoma, tanga na mbeya
Kidogo ungeniambia tanga na dodoma ndio zenye mpangilio manake hata hiyo miji yetu ya dar arusha na mwanza sio kwamba haiku na mpangilio ila kulingana na kutanuka mji na technologia yetu ilivyo ndogo unapata sehemu kama tandale dar, mabatini mwanza, au ngarenaro arusha
 
Back
Top Bottom