Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Mkuu utaratibu haikufwata..Haiwezekani tenda itangazwe leo kesho watu wawe wameshasainishana tenda..Huyo jamaa hakuwa na uwezo na ilikua ni dili tu hilo.Si angalao ungejibidisha kuangamuka na kujua/fahamu namna biashara za technical sales and after sales services zinavyofanyika, halafu baada ya hapo utoe comment yako basi! Maana sasa unakera kwa kuaibisha JF. Sio wote tulioko humu ni wajinga. Maana suala hapa siyo nani alipewa tenda ya kufunga vifaa kambi za polisi, la hasha. Ni iwapo utaratibu wa kisheria (PPA) ulifuatwa na kama mzabuni alitimiza wajibu wake kwa mujibu wa mkataba. Basi! Hizo ndio hoja zenye kuwakilisha maslahi ya umma.