Kitwanga: Kuna kundi linalomshauri vibaya Rais Samia

Kitwanga: Kuna kundi linalomshauri vibaya Rais Samia

Bwana kitwanga fanya home work yako
Hebu weka hizo list ya shauri mbaya alizoshuriwa na majina ya waliomshauri.
Halafu pia weka mapendekezo ya shauri ambazo wewe unaona ni nzuri na list ya watu ambayo wewe unadhani wanafaa kumshauri rais
Kusema hakuna kufunga mipaka halafu unaruhusu wakanunue chakula nje walete ndani , hiyo ni akili au mavi
 
Na kama Rais kila mara anakubali huo ushauri mbaya, basi naye ndie hafai kabisa, ametokea kukiamini kikundi cha watu wachache no matter what bado anaendelea kukiamini tu, anajiharibia kabisa.
...
Rais anaweza kuonekana dhaifu lakini anapoamua kushughulikia watu kwa mamlaka yake huwa tunakuja humu jukwaani na kuanza kulialia tukisema rais huyu ni dikteta,

Hayati JPM aliamua kutokuwa dhaifu na mpaka miaka miwili akiwa kaburini bado wapo watu wanaoulalamikia uongozi wake.

SSH sio dhaifu kama tunavyodai, ameruhusu uongozi wake uheshimu demokrasia na amewapa watu uhuru wa kufanya kazi kwa mujibu wa taratibu.
 
Huyu rais kutwa anatukanwa kuwa hatumii zake bali za washauri hadi lini?.
Yaani hawezi kung'amua anapokea tu bila kuchuja?
Acheni kumtukana rais basi?
 
Kwamba Hadi yule Mzee asiye na wizara maalum naye anatoa ushauri mbaya au anashauri bt hasikizwi?

Maombi juu ya nchi, viongozi na KANISA ndo yatalitoa Taifa letu ktk mkwamo tuliopo.

Amen
 
Yaani Kwa sababu yeye hajachaguliwa uwaziri basi Rais anashauriwa vibaya.

Hii nchi Ina shida Sana
 
Kwa lugha nyepesi Kitwanga anasema Rais ni kilaza kwani hao washauri ni wateule wake mwenyewe na pia siyo kila ushauri aukubali. Sukuma Gang endeleeni tu kuishambulia Chadema na Lissu lakini adui ni CCM na Msoga Gang.
Huyu Rais makamba na Mwigulu nchemba wanamuharibia
 
Wanamshauri na anaridhia mara kwa mara ;

Tatizo linaanzia hapo.
 
Back
Top Bottom