Kitwanga: Kuna kundi linalomshauri vibaya Rais Samia

Binafsi Kitwanga sijawai kumwamini, angemuacha Mama atekeleze majukumu yake tafadhali.

Mama yuko vizuri sana, sioni matatizo ya Mama ingawa kila binadamu ana mapungufu yake.
 
Ana poteza muda wake bure kumshauri mpumbaf
 
Rais ana mambo mengi. Kumlaumu kwa kila kitu sio sahihi
 
Unajua kama kiongozi hana (vision, goal, strategies) maono, malengo, mikakati, anachagua wasaidizi wabovu, Hana uchungu na rasilimali za nchi, hajali maisha ya watu maskini haya ndio matokeo yake.

Ni kama kucheza mpira (football) bila magoli. Wote mtakuwa mnazunguka zunguka hovyo. Hakuna goal la kulenga.
 
Wamesharejea kwa spidi ya 5G !! Wajanja !!
 
Kila mchezaji atakuwa anaonesha ufundi wa kupiga chenga na danadana kisha anampasia rafiki yake !!
 
The Royal Family of Msoga Kingdom!
 
Hivi ndo kusema kwamba Rais wetu anashauriwa na kila mtu anayejisikia kumshauri au anamaanisha jopo rasmi linalomshauri Rais wanafanya haya?
 
Kosa kubwa analofanya Samia ni kumwendekeza Kikwete na kundi lake!

Akumbuke Kikwete siyo encyclopedia ya nchi hii!
JK mwenyewe nchi ilimshinda,sasa anashauri nini kama siyo upigaji serikalini.Siku hizi Bilioni 7 imekuwa pesa ya kawaida mara kukarabati kivuko Bilioni 7,kujenga daraja la ovyo ovyo Bilioni 7!!!
 
Mazee hii story nimewahi isikia only nilitajiwa jina la Mzee Tabu Mangara..aliekuwa Mwenyekiti Yanga ......kila kitu the same na ulivyoeleza... except jina la huyo Mzee.
My bad, ni Tabu Mangara sorry, si Songambele.

Ameandika vizuri Professor Issa G. Shivji katika kitabu chake "Development As Rebellion: A Biography of Julius Nyerere".

Je, rais ana namna ya kuhakiki ushauri anaopewa na washauri wake kama alivyofanya Nyerere?
 
Kitwanga hivi punde ataanza kudai Katiba mpya, muda ni mwalimu mzuri...
Kila mwenye kuitakia mema Nchi atadai Katiba mpya !! Ili ziweze kupatikana strong Institutions za kuendesha Nchi kwa mujibu wa Katiba iliyo bora !!
 
Tatizo analimited capacity of thinking so anaacha wamsaidie kufikiri... hii nchi inahitaji kichwa kilichotulia na chenye msimamo madhubuti. Sio hivi tunavyoenda watu wanamapembe mpaka aibu. Tuliojikoni kazi yetu kuchochea kuni tu.
 
Sa1000 ni [emoji117][emoji90]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…