Mnafiki mkubwa Wewe baada ya Kuona nakaribia kupata Ushindi katika Shindano hivi sasa ndiyo umegeuka na Kujifanya Kunipamba.
99% ya Posts zako tokea Juzi na sana ( hasa ) Jana kwa Kushirikiana na Wenzako Tajwa
OKW BOBAN SUNZU na
Song of Solomon mlikuwa mkinishambulia kwa kila maneno huku mkihimizana na kuwahimiza Watu Wengine wasinipigie Kura.
Na katika muendelezo wa Unafiki, Chuki na Wivu Kwangu GENTAMYCINE baada ya Kuona mpango wenu wa Kuniangusha ili nisishinde mkaibuka na lingine kuwa nina IDs Milioni hapa JamiiForums na kwamba ndizo zimenipigia Kura.
Labda nikusaidie tu kwa Kukuambia kuwa GENTAMYCINE napendwa, naeleweka, nakubalika na nafuatiliwa na Wengi sana hapa JamiiForums hivyo Kunizuia ni Ngumu ukijumlisha kuwa pia nilishabarikiwa na Mwenyezi Mungu tokea alipokuwa akiniumba Kwake Mbinguni.
Mimi siyo Mshindi ila Washindi hasa ni Members wote Walionipigia na wanaendelea Kunipigia Kura kwa Kuniheshimu a Kwao huku ( hivi )
Nina Deni Kubwa Kwao na niseme tu Asante na Mwenyezi Mungu atawalipa zaidi Thawabu maradufu kwa huku Kuniheshimisha Kwao na Kujitokeza kwa Uwingi Kunipigia Kura.
Hakika Nguvu ya Mungu haizuiliki daima.