CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Watu wanamchukia tu GENTA ila always kwenye michezo anaandika vitu halisi, ni ule tu ushabiki wake wa Simba na vile hatupendi kuambiwa ukweli.
Mi binafsi kwenye sekta hii ya michezo sijawahi kumuona mtupu.
Wengi tunachanya tambo, majivuno, kama ni tabia yake bt kwenye uandishi watu kama hawa wapo na ujumbe wao unakuja murua kabisa.
Humu ndani kuna KIDUKULILO na GENTA hawa wanaongeaga kama utani ila ni uhalisia ni vile aina ya uwasilishaji wa hoja mnaona kama uko kushoto kwa wengi.