Kiufundi bado naiona Yanga SC ni bora kuliko Azam FC na kwamba ina 85% za kushinda leo

Kiufundi bado naiona Yanga SC ni bora kuliko Azam FC na kwamba ina 85% za kushinda leo

Watu wanamchukia tu GENTA ila always kwenye michezo anaandika vitu halisi, ni ule tu ushabiki wake wa Simba na vile hatupendi kuambiwa ukweli.

Mi binafsi kwenye sekta hii ya michezo sijawahi kumuona mtupu.
Wengi tunachanya tambo, majivuno, kama ni tabia yake bt kwenye uandishi watu kama hawa wapo na ujumbe wao unakuja murua kabisa.

Humu ndani kuna KIDUKULILO na GENTA hawa wanaongeaga kama utani ila ni uhalisia ni vile aina ya uwasilishaji wa hoja mnaona kama uko kushoto kwa wengi.
 
Anaandikaga vizuri mbona, sema shida alokuwa nayo ni kutotaka kupingwa au kutokuheshimu mawazo ya wengine, anaharibuga zaidi akianza matusi
Ndo hivo.Jina lake la POPOMA alipewa kwa sababu hizo.
 
Asante Mkuu wangu na ndiyo maana unaona hata 90% ya Wanamichezo wa hili Jukwaa la Sports ( Michezo ) wamenipigia na wanaendelea Kunipigia Kura zao nyingi GENTAMYCINE na za Kishindo katika Shindano la Member Bora wa Mwaka katika Jukwaa la Michezo
Kura yangu unayo Mkuu . I wish ningejaliwa moyo kama wako . unapasuaga bila kifucho nomara waaa 👊👊👊
 
Back
Top Bottom