Kiufundi bado naiona Yanga SC ni bora kuliko Azam FC na kwamba ina 85% za kushinda leo

Popoma aheshimike
Post yako hii iwafikie wenye Chuki Kubwa na Husuda nami OKW BOBAN SUNZU na Song of Solomon kutokana tu na Kukubalika Kwamgu hapa JamiiForums na aina ya Uwasilishaji wangu wa Kipekee unaovutia Wasomaji ( Members ) wengi na ambao kamwe hauwezi Kuigwa na Mtu yoyote yule.

Mungu akimbariki Mtu humbariki mno.
 
Ahueni hujanitaja kwenye hao watu wanao kuchukia. Maana unatambua fika mimi kaka yako siku zote ninakupigania ili uwe kijana mwenye busara, hekima, na maadili katika jamii.
 
Ahueni hujanitaja kwenye hao watu wanao kuchukia. Maana unatambua fika mimi kaka yako siku zote ninakupigania ili uwe kijana mwenye busara, hekima, na maadili katika jamii.
Mnafiki mkubwa Wewe baada ya Kuona nakaribia kupata Ushindi katika Shindano hivi sasa ndiyo umegeuka na Kujifanya Kunipamba.

99% ya Posts zako tokea Juzi na sana ( hasa ) Jana kwa Kushirikiana na Wenzako Tajwa OKW BOBAN SUNZU na Song of Solomon mlikuwa mkinishambulia kwa kila maneno huku mkihimizana na kuwahimiza Watu Wengine wasinipigie Kura.

Na katika muendelezo wa Unafiki, Chuki na Wivu Kwangu GENTAMYCINE baada ya Kuona mpango wenu wa Kuniangusha ili nisishinde mkaibuka na lingine kuwa nina IDs Milioni hapa JamiiForums na kwamba ndizo zimenipigia Kura.

Labda nikusaidie tu kwa Kukuambia kuwa GENTAMYCINE napendwa, naeleweka, nakubalika na nafuatiliwa na Wengi sana hapa JamiiForums hivyo Kunizuia ni Ngumu ukijumlisha kuwa pia nilishabarikiwa na Mwenyezi Mungu tokea alipokuwa akiniumba Kwake Mbinguni.

Mimi siyo Mshindi ila Washindi hasa ni Members wote Walionipigia na wanaendelea Kunipigia Kura kwa Kuniheshimu a Kwao huku ( hivi )

Nina Deni Kubwa Kwao na niseme tu Asante na Mwenyezi Mungu atawalipa zaidi Thawabu maradufu kwa huku Kuniheshimisha Kwao na Kujitokeza kwa Uwingi Kunipigia Kura.

Hakika Nguvu ya Mungu haizuiliki daima.
 
Tena ukishinda mfanye ahamie hilo jukwaa ,huku apaone kama jehanam
 
Maneno meeeengi kama umeshinda bima ya maisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Good analysis Genta, uko njema mtani.
 
Mtani habari yako..nakutakia kila la kheri katika sikukuu za krismas na mwaka mpya
Mtani mwenyewe huyu anatuchambaga kama nini yaani sijui tumfanyizie maana masika hii tumtumie mbojo tu hakuna namna sasa🤣🤣🤣
 
Maneno meeeengi kama umeshinda bima ya maisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukana na Nikashifu uwezavyo ila Nimeshinda na Wapiga Kura wameniheshimisha na wamewajibuni kuwa GENTAMYCINE ni Lulu ya Kipekee hapa JamiiForums.

Na Wewe Kazana Msimu ujao nawe Uthaminiwe na Uheshimishwe hivi kwani JamiiForums ni Mtandao wa Mwenyezi Mungu na kupitia Wapiga Kura Wana wa Mungu kaweza Kunibariki na

Yameshakuwa.
 
Mtani mwenyewe huyu anatuchambaga kama nini yaani sijui tumfanyizie maana masika hii tumtumie mbojo tu hakuna namna sasa🤣🤣🤣
Utatumiaje nguvu kubwa kuua sisimizi?
 
Mzee, ulipita mule mule🤗🤗

Wewe kweli Gentamycin kiboko ya magonjwa sugu

Merry Christmas Sir
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anaandikaga vizuri mbona, sema shida alokuwa nayo ni kutotaka kupingwa au kutokuheshimu mawazo ya wengine, anaharibuga zaidi akianza matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…