Kiufundi kwa Yanga SC niionayo sasa Kiubora na Spirit ya Wachezaji wake ikibaki hivi hivi Al Ahly FC anakufa Dar na Cairo

Wewe jamaa siku hizi una akili sana,bangi umeaacha??nakuona mbali sana kuendelea hivi hivi nitakupa namba moja hapa jamii
 
Haya ndo madhara ya kupewa tuzo eti ya member bora jukwaa la michezo. Sasa umekwa mtu wa kusifia tu ata pasipostahili.
Namimi nakuambia kwa Al ahly hii, Yanga anakufa nje ndani.
Naiscreenshot hiii reply
 
Haya ndo madhara ya kupewa tuzo eti ya member bora jukwaa la michezo. Sasa umekwa mtu wa kusifia tu ata pasipostahili.
Namimi nakuambia kwa Al ahly hii, Yanga anakufa nje ndani.
Mtu Wa Hovyo Hovyo
 
MTABIRI TAMBI TAMBI.

"75% Yanga SC inafungwa leo na 25% wataibahatisha Sare kwa Azam FC. Kuna Mambo yamefanyika (Nje ya Uwanja) na yamewashinda Wataalam Watatu wa Yanga SC na hata baadhi ya Viongozi Wao wameshajua kuwa leo (hasa Jumatatu) Kinujumu (Kinyota na Kitarehe) si Siku nzuri Kwao Kimatokeo"

PATHETIC
 
Nanunua dollars mbovu na Simba mbovu
Naona taratibu unaitafuta BAN nyingine uliyoipata haijakufunza na ulivyo Mpumbavu nikikuingiza tu Mtegoni unajaa na unakula Chuma. Endelea tu sawa?

Utawafumba Mafumbo Wapumbavu Wenzako ( kama hao waliokupa Likes hapo ) ila siyo Mimi Genius wa Kizanaki, Kiyao na Kitutsi.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…