GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
GENTAMYCINEMchambuzi nguli [emoji1666]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GENTAMYCINEMchambuzi nguli [emoji1666]
Wewe jamaa siku hizi una akili sana,bangi umeaacha??nakuona mbali sana kuendelea hivi hivi nitakupa namba moja hapa jamiiUkiuangalia Uchezaji wa Simba SC yangu na wa Watani zangu Yanga SC utaona tofauti Kubwa mno na ndiyo maana GENTAMYCINE leo sioni Aibu wala Siogopi kusema kuwa kwa Yanga SC hii ya sasa na nilivyowaona Al Ahly FC kwa Mechi zao Mbili hizi walizocheza na Simba SC nawaona Yanga SC wakikutana nao katika Mechi zao Mbili za CAFCL watashinda Mechi zote au watashinda Moja na kutoka Sare Moja jambo ambalo litawabeba kwa Alama ( Points ) katika Kundi lao Gumu ( la Kifo ) na hata Kusonga mbele.
Uzi wangu huu wa kusema Ukweli ukikukera au ukiuchukia nakuomba tu tafuta Sumu ya Panya popote ilipo Unywe ili Ufe kabisa na Kisununu / Kinyongo chako cha Kishamba na kutopenda kusikia Uwazi wa Kimchezo usioutaka na usioupenda pia.
Nimebadili aina ya Bangi / Bange Mkuu.Wewe jamaa siku hizi una akili sana,bangi umeaacha??nakuona mbali sana kuendelea hivi hivi nitakupa namba moja hapa jamii
Naiscreenshot hiii replyHaya ndo madhara ya kupewa tuzo eti ya member bora jukwaa la michezo. Sasa umekwa mtu wa kusifia tu ata pasipostahili.
Namimi nakuambia kwa Al ahly hii, Yanga anakufa nje ndani.
AaahàaaaaaNanunua dollars mbovu na Simba mbovu
Mtu Wa Hovyo HovyoHaya ndo madhara ya kupewa tuzo eti ya member bora jukwaa la michezo. Sasa umekwa mtu wa kusifia tu ata pasipostahili.
Namimi nakuambia kwa Al ahly hii, Yanga anakufa nje ndani.
Ya huyo Juha?Naiscreenshot hiii reply
Naona taratibu unaitafuta BAN nyingine uliyoipata haijakufunza na ulivyo Mpumbavu nikikuingiza tu Mtegoni unajaa na unakula Chuma. Endelea tu sawa?Nanunua dollars mbovu na Simba mbovu
YapYa huyo Juha?
Walivyo matutusa hapo wanaona tayari wameshamfunga kweli Al AhlyAcha kuwadanganya wenzako wakaaibike huko.
Ukiuangalia Uchezaji wa Simba SC yangu na wa Watani zangu Yanga SC utaona tofauti Kubwa mno na ndiyo maana GENTAMYCINE leo sioni Aibu wala Siogopi kusema kuwa kwa Yanga SC hii ya sasa na nilivyowaona Al Ahly FC kwa Mechi zao Mbili hizi walizocheza na Simba SC nawaona Yanga SC wakikutana nao katika Mechi zao Mbili za CAFCL watashinda Mechi zote au watashinda Moja na kutoka Sare Moja jambo ambalo litawabeba kwa Alama ( Points ) katika Kundi lao Gumu ( la Kifo ) na hata Kusonga mbele.
Uzi wangu huu wa kusema Ukweli ukikukera au ukiuchukia nakuomba tu tafuta Sumu ya Panya popote ilipo Unywe ili Ufe kabisa na Kisununu / Kinyongo chako cha Kishamba na kutopenda kusikia Uwazi wa Kimchezo usioutaka na usioupenda pia.
Naitunza hii replyWalivyo matutusa hapo wanaona tayari wameshamfunga kweli Al Ahly
Hamna lolote mbele ya hii Alhly...mwalimu hana mbinu...nyie kajitanueni muone kipondo..Naitunza hii reply
KitamboHamna lolote mbele ya hii Alhly...mwalimu hana mbinu...nyie kajitanueni muone kipondo..
Tunza na hiii
Vuta vya Arusha havichanganyi akiliNimebadili aina ya Bangi / Bange Mkuu.