Kiufundi kwa Yanga SC niionayo sasa Kiubora na Spirit ya Wachezaji wake ikibaki hivi hivi Al Ahly FC anakufa Dar na Cairo

Uzi wangu huu wa kusema Ukweli ukikukera au ukiuchukia nakuomba tu tafuta Sumu ya Panya popote ilipo Unywe ili Ufe kabisa na Kisununu / Kinyongo chako cha Kishamba na kutopenda kusikia Uwazi wa Kimchezo usioutaka na usioupenda pia.
 
Tangu nijiunge jf sijawahi kudhani ipo siku ninaweza kulike Uzi wa popoma.
Ninachokijua tu ( na nina uhakika nacho 100% ) kuwa Members wote Wanaonichukia hapa JamiiForums Mioyoni mwao na Rohoni kwao Wananipenda hakuna Mfano na wako tayari hata Kuniabudu ( kama Mungu wao wa Pili hapa duniani ) na ndiyo maana unaona pamoja na huko Kunichukia, Kunishambulia, Kunitukana, Kunichafua na Kunidhalilisha Kutwa hapa Jamvini ( JamiiForums ) bado tu 24/7 hawaachi Kunisoma, kufuatilia Threads zangu na hata Wengi wao kuamua Kunifolo na najua ndani ya 167 Followers nilionao hapa JamiiForums nao Wamo.

Asante sana na mno Mwenyezi Mungu kwa Kunibariki Mimi Mwanao GENTAMYCINE na Tunu / Shani zangu Tukuka ( za uhakika Nne ) za "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ambazo zinawatesa Watu pamoja na Natural Charm niliyonayo.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Hongera mkuu binafsi nimekuelewa ulichomaanisha
 
Etiii? Yanga aifunge Al Ahly nje ndani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umechanganyikiwa popoma.

Tatizo mlioma Al Ahly ni ya kawaida sana ilipocheza na Simba, mnadhani Simba ni timu ndogo? Bongo bhana
Simba ina kombe gani?
 
True colours of Gentamycine ie pro utopolo on display openly!! Camouflage off!! Huyu ndo Gentamycine ninayemjua mimi yaani uto damu damu!! Kajitahidi sana kujificha akidai ni simba lakini baada ya timu yake pendwa ya uto kuonesha dalili ya kufufuka (japo bado sana) tayari keshatoa kinyago/camouflage iliyokuwa inajaribu kuficha sura yake halisi ya pro-uto!!
 
Eti game changer
 
Yanga Hamna kitu mkuu! Wamisri sio wa kubezwa na Mpira wanaujua. Pia Simba ni Team Bora

Issue sio kukimbia ovyo uwanjani. Yanga ukishakamata wachezaji 3; hawapati Goli Hata moja
Simba ndiyo hamna kitu kabisa nyie ni Mwakarobo tu.
 
Yanga Hamna kitu mkuu! Wamisri sio wa kubezwa na Mpira wanaujua. Pia Simba ni Team Bora

Issue sio kukimbia ovyo uwanjani. Yanga ukishakamata wachezaji 3; hawapati Goli Hata moja
Kila siku tunawaambia,mpira sio mikimbio tu,kikubwa tuombe uhai ila atakachofanywa utopolo hawatoamini
 
Haya ndo madhara ya kupewa tuzo eti ya member bora jukwaa la michezo. Sasa umekwa mtu wa kusifia tu ata pasipostahili.
Namimi nakuambia kwa Al ahly hii, Yanga anakufa nje ndani.
Hivi hawa jamaa vichwani mwao wamejaza nini jamani? Hivi wanadhan Al ahl ni timu mbovu kiasi kwamba kila mcha mbuzi aibeze? Kweli naanza kuamini nchi hii wagonjwa wa afya ya akili wanaongezeka kwa kasi ya 5g.
Simba pamoja na mapungufu yao lakin wanacheza mpira wa mbinu.
 
Etiii? Yanga aifunge Al Ahly nje ndani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umechanganyikiwa popoma.

Tatizo mlioma Al Ahly ni ya kawaida sana ilipocheza na Simba, mnadhani Simba ni timu ndogo? Bongo bhana
Al Ahly ni kubwa ndio maana imefuzu next stage
 
Haya ndo madhara ya kupewa tuzo eti ya member bora jukwaa la michezo. Sasa umekwa mtu wa kusifia tu ata pasipostahili.
Namimi nakuambia kwa Al ahly hii, Yanga anakufa nje ndani.
Upe wakati nafasi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…