ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi wangu huu wa kusema Ukweli ukikukera au ukiuchukia nakuomba tu tafuta Sumu ya Panya popote ilipo Unywe ili Ufe kabisa na Kisununu / Kinyongo chako cha Kishamba na kutopenda kusikia Uwazi wa Kimchezo usioutaka na usioupenda pia.Ukiuangalia Uchezaji wa Simba SC yangu na wa Watani zangu Yanga SC utaona tofauti Kubwa mno na ndiyo maana GENTAMYCINE leo sioni Aibu wala Siogopi kusema kuwa kwa Yanga SC hii ya sasa na nilivyowaona Al Ahly FC kwa Mechi zao Mbili hizi walizocheza na Simba SC nawaona Yanga SC wakikutana nao katika Mechi zao Mbili za CAFCL watashinda Mechi zote au watashinda Moja na kutoka Sare Moja jambo ambalo litawabeba kwa Alama ( Points ) katika Kundi lao Gumu ( la Kifo ) na hata Kusonga mbele.
Uzi wangu huu wa kusema Ukweli ukikukera au ukiuchukia nakuomba tu tafuta Sumu ya Panya popote ilipo Unywe ili Ufe kabisa na Kisununu / Kinyongo chako cha Kishamba na kutopenda kusikia Uwazi wa Kimchezo usioutaka na usioupenda pia.
Ninachokijua tu ( na nina uhakika nacho 100% ) kuwa Members wote Wanaonichukia hapa JamiiForums Mioyoni mwao na Rohoni kwao Wananipenda hakuna Mfano na wako tayari hata Kuniabudu ( kama Mungu wao wa Pili hapa duniani ) na ndiyo maana unaona pamoja na huko Kunichukia, Kunishambulia, Kunitukana, Kunichafua na Kunidhalilisha Kutwa hapa Jamvini ( JamiiForums ) bado tu 24/7 hawaachi Kunisoma, kufuatilia Threads zangu na hata Wengi wao kuamua Kunifolo na najua ndani ya 167 Followers nilionao hapa JamiiForums nao Wamo.Tangu nijiunge jf sijawahi kudhani ipo siku ninaweza kulike Uzi wa popoma.
Na ninavyojua Kuwasanifu sasa.Msije mkamkataa baadae nyie ndo mabingwa wa kumtukana humu akiwapa msivyovipenda...ila leo meno yote yako nje...uzi unaishi huu...
Hongera mkuu binafsi nimekuelewa ulichomaanishaUkiuangalia Uchezaji wa Simba SC yangu na wa Watani zangu Yanga SC utaona tofauti Kubwa mno na ndiyo maana GENTAMYCINE leo sioni Aibu wala Siogopi kusema kuwa kwa Yanga SC hii ya sasa na nilivyowaona Al Ahly FC kwa Mechi zao Mbili hizi walizocheza na Simba SC nawaona Yanga SC wakikutana nao katika Mechi zao Mbili za CAFCL watashinda Mechi zote au watashinda Moja na kutoka Sare Moja jambo ambalo litawabeba kwa Alama ( Points ) katika Kundi lao Gumu ( la Kifo ) na hata Kusonga mbele.
Uzi wangu huu wa kusema Ukweli ukikukera au ukiuchukia nakuomba tu tafuta Sumu ya Panya popote ilipo Unywe ili Ufe kabisa na Kisununu / Kinyongo chako cha Kishamba na kutopenda kusikia Uwazi wa Kimchezo usioutaka na usioupenda pia.
Simba ina kombe gani?Etiii? Yanga aifunge Al Ahly nje ndani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umechanganyikiwa popoma.
Tatizo mlioma Al Ahly ni ya kawaida sana ilipocheza na Simba, mnadhani Simba ni timu ndogo? Bongo bhana
Mimi nawaangalia tuu nasema hiiiiiii.....
True colours of Gentamycine ie pro utopolo on display openly!! Camouflage off!! Huyu ndo Gentamycine ninayemjua mimi yaani uto damu damu!! Kajitahidi sana kujificha akidai ni simba lakini baada ya timu yake pendwa ya uto kuonesha dalili ya kufufuka (japo bado sana) tayari keshatoa kinyago/camouflage iliyokuwa inajaribu kuficha sura yake halisi ya pro-uto!!Ukiuangalia Uchezaji wa Simba SC yangu na wa Watani zangu Yanga SC utaona tofauti Kubwa mno na ndiyo maana GENTAMYCINE leo sioni Aibu wala Siogopi kusema kuwa kwa Yanga SC hii ya sasa na nilivyowaona Al Ahly FC kwa Mechi zao Mbili hizi walizocheza na Simba SC nawaona Yanga SC wakikutana nao katika Mechi zao Mbili za CAFCL watashinda Mechi zote au watashinda Moja na kutoka Sare Moja jambo ambalo litawabeba kwa Alama ( Points ) katika Kundi lao Gumu ( la Kifo ) na hata Kusonga mbele.
Uzi wangu huu wa kusema Ukweli ukikukera au ukiuchukia nakuomba tu tafuta Sumu ya Panya popote ilipo Unywe ili Ufe kabisa na Kisununu / Kinyongo chako cha Kishamba na kutopenda kusikia Uwazi wa Kimchezo usioutaka na usioupenda pia
Eti game changerNinachokijua tu ( na nina uhakika nacho 100% ) kuwa Members wote Wanaonichukia hapa JamiiForums Mioyoni mwao na Rohoni kwao Wananipenda hakuna Mfano na wako tayari hata Kuniabudu ( kama Mungu wao wa Pili hapa duniani ) na ndiyo maana unaona pamoja na huko Kunichukia, Kunishambulia, Kunitukana, Kunichafua na Kunidhalilisha Kutwa hapa Jamvini ( JamiiForums ) bado tu 24/7 hawaachi Kunisoma, kufuatilia Threads zangu na hata Wengi wao kuamua Kunifolo na najua ndani ya 167 Followers nilionao hapa JamiiForums nao Wamo.
Asante sana na mno Mwenyezi Mungu kwa Kunibariki Mimi Mwanao GENTAMYCINE na Tunu / Shani zangu Tukuka ( za uhakika Nne ) za "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ambazo zinawatesa Watu pamoja na Natural Charm niliyonayo.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Tangu nijiunge jf sijawahi kudhani ipo siku ninaweza kulike Uzi wa popoma.
Hawachomoki kwa Uto hii mnyonge wa Ihefu? You must be joking!!Umesema ukweli mkuu, wamisri hawachomokii
Simba ndiyo hamna kitu kabisa nyie ni Mwakarobo tu.Yanga Hamna kitu mkuu! Wamisri sio wa kubezwa na Mpira wanaujua. Pia Simba ni Team Bora
Issue sio kukimbia ovyo uwanjani. Yanga ukishakamata wachezaji 3; hawapati Goli Hata moja
Kila siku tunawaambia,mpira sio mikimbio tu,kikubwa tuombe uhai ila atakachofanywa utopolo hawatoaminiYanga Hamna kitu mkuu! Wamisri sio wa kubezwa na Mpira wanaujua. Pia Simba ni Team Bora
Issue sio kukimbia ovyo uwanjani. Yanga ukishakamata wachezaji 3; hawapati Goli Hata moja
Hivi hawa jamaa vichwani mwao wamejaza nini jamani? Hivi wanadhan Al ahl ni timu mbovu kiasi kwamba kila mcha mbuzi aibeze? Kweli naanza kuamini nchi hii wagonjwa wa afya ya akili wanaongezeka kwa kasi ya 5g.Haya ndo madhara ya kupewa tuzo eti ya member bora jukwaa la michezo. Sasa umekwa mtu wa kusifia tu ata pasipostahili.
Namimi nakuambia kwa Al ahly hii, Yanga anakufa nje ndani.
Al Ahly ni kubwa ndio maana imefuzu next stageEtiii? Yanga aifunge Al Ahly nje ndani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umechanganyikiwa popoma.
Tatizo mlioma Al Ahly ni ya kawaida sana ilipocheza na Simba, mnadhani Simba ni timu ndogo? Bongo bhana
Lakini mbele ya chai ya rangi (Ihefu) dude kubwa linafugika kiulainiiiii!!!!!Uko sahihi Yanga ni Dude kubwa.
Upe wakati nafasi yakeHaya ndo madhara ya kupewa tuzo eti ya member bora jukwaa la michezo. Sasa umekwa mtu wa kusifia tu ata pasipostahili.
Namimi nakuambia kwa Al ahly hii, Yanga anakufa nje ndani.