Eagle Trader
JF-Expert Member
- Jun 26, 2025
- 635
- 734
Shida yako unataka kuhalalisha kuwa reserve ya dollar serikalini hata ikitumiwa vibaya kwa Mambo ya kianasa na matumizi yasiyo na tija basi wanainch wasiwe na waswas coz haiwathiri Kabisa kisa sio shilling sasa kumkichwa uko sawa kweli na BOT yako ya mchongo uliyodai umefanya kaziunaelewa nn kuhusu kodi
kila kitu umeelezea vizuri however kuna concept ndogo unakosea,Mkuu unapotosha Serikali kupitia B.O.T hupata pesa kupitia kodi na tozo kutoka kwenye shughuli za uchumi(bidhaa na huduma).Serikali huzitunza fedha hizo B.O.T.
Unapouza bidhaa nje ya nchi utalipwa kwa USD,ukirudi Tanzania huwezi kutumia USD kufanya shughuli zako utahitaji Tshs,na hapo ndio utahitaji B.O.T au commercial bank kupata hayo madafu.
Hiyo USD yako uliyokuja nayo kutoka huko ulipokwenda kuuza hiyo bidhaa,pamoja na USD zingine zingine walizo lipa watalii ili wapate tshs zitajumuishwa na kutunzwa B.O.T na hii ndio tafsiri ya akiba ya fedha ya kigeni.
Serikali ikitaka kufanya expenditure itatumie hiyo akiba ya USD kufanya manunuzi nje.
So,Issue ni kuwa ili B.O.T akupe tshs wewe utakapo leta hizo USD zako,ni lazima awe na hizo tshs na anazipata kupitia kodi na too mbalimbali.
Ahsante kwa jibu lako.someday utaelewa kwa saaahv baki na unavotaka kujua
pesa haina thamani kiasi icho unavodhanShida yako unataka kuhalalisha kuwa reserve ya dollar serikalini hata ikitumiwa vibaya kwa Mambo ya kianasa na matumizi yasiyo na tija basi wanainch wasiwe na waswas coz haiwathiri Kabisa kisa sio shilling sasa kumkichwa uko sawa kweli na BOT yako ya mchongo uliyodai umefanya kazi
Kama haina thamani sasa ya nini unaleta porojo zako hizo hazina miguu wala BOTpesa haina thamani kiasi icho unavodhan
Kaa pembeni mwenyew chawa la lumumbaKaa pemben kama mada hauna nia nayo
Unauelewa kiasi gani kuhusu uchumi unaongolea yani una level gani ya elimu ama uzoefu?Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
It's called solid proofs from reliable source which by far hold water more than your senseless blah blahs, probably you've never learned anything tangible in your entire life so this is your moment to get a little bit of knowledge at least.as i said umeegemea kutuma screenshot so hutaelewa because your here trying to prove something
Cut the chase and hit it direct Mr Einstein.Dont be so confident when you explain something your only understand theoretically, on the other side i am happy you did choose to continue being ignorant so that you wont understand economics completely, there is a reason for that
this will give you a glimpse: TSH/KSH: Somo fupi exchange rates znapatikana wap na nani anaamua ziwe ngapi kwa ngapiUnauelewa kiasi gani kuhusu uchumi unaongolea yani una level gani ya elimu ama uzoefu?
Iwapo ikitokea kuwatafuta na kuwatambua wanamtandao waanzie kwako!Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
Just cut the chase and hit it.tatizo lako wewe huna uelewa wa uchumi na kila response yako ni screenshot, unashindwa nn kuingia apo google ukaandika brunei national dept?
1.Huwezi tenganisha B.O.T na Serikali,B.O.T ni Tasisi iliyo chini ya Serikali na imenzishwa na Serikali.kila kitu umeelezea vizuri however kuna concept ndogo unakosea,
1) Serikali na BOT ni vitu 2 tafauti, Sheria Miongozo na kanuni za benki kuu zinajitegemea
2) Ukifanya exchange ya dola kwenda tsh, rate unayopewa sio economic rate kwa mfano mda huu 1 usd ni sawa na 2500, haina uhusiano wowote na uzito wa uchumi, they are manually created
3) Serikali haifanyi conversion inapotaka pesa za kufanya manunuzi nje, so hata kama ulilipa kodi mil 1, serikali haiwezi chukua hio mil 1 na kusema nipe $480, yenyewe itaandika kitu kinaitwa IOU kwenda benki kuu na benki kuu itakamilisha hayo malipo, hivo baasi ata kama haukutoa kodi muamala wa manunuzi nje ulitegemea IOU na sio kiasi cha makusanyo alicho nacho serikali
Ili Taasisi ya Fedha ikukopesha pesa lazima waangalie uwezo wako wa kiuchumi wa kulipa hiyo pesa,na hela ya kulipa huo mkopo bado ni hizo hizo taxkukopa