hakuna conversion yoyote inafanyika, rate unayoiona ya dola to tsh ni kwa ajili ya wananchi wa kawaida, haina uhusiano wowote na uchumi ni rate za kisiasa either ku encourage ama kudiscourage matumizi ya hio pesa, zipo nchi nyingi za hovyo na zna rate nzuri dolaKodi za wananchi ndizo chanzo kikuu cha mapato ya serikali, Kodi hukusanywa kwa fedha zetu (TZS). Serikali ikihitaji kununua nje, inabadilisha fedha zetu kuwa dola kupitia BoT au benki za biashara.
Unavyosema kodi zetu hazihusiki kusingekuwa na umuhimu wa kukusanya Kodi.
Mpuuzi upuuzwehuezi gomea ukwel 😂 😂
nahisi hio elimu inakufaa wewe zaidi maana nlishaandika makala nzima exchange rate znatoka wap:Elimu elimu elimu. Kweli tuna safari ndefu sana kama taifa.
Ni kweli dola hutolewa na BoT kwa government procurement, na rate ya conversion ni ya serikali hilo sijakataa.sahihi kabisa however hata usingelipa hio kodi bado hio reserve ipogo tu, serikali haiihitaji tsh ili kubadilisha pesa, na benki za biashara hazifanyia manunuzi yoyote ya serikali na rate ya hio conversion inatoka serikalini
unaweza pata elimu kidogo itakusaidia: TSH/KSH: Somo fupi exchange rates znapatikana wap na nani anaamua ziwe ngapi kwa ngapiMpuuzi upuuzwe
Huna akili nyinyi ndio mtaji wao wa kununulia zile Ferrari na RRhakuna conversion yoyote inafanyika, rate unayoiona ya dola to tsh ni kwa ajili ya wananchi wa kawaida, haina uhusiano wowote na uchumi ni rate za kisiasa either ku encourage ama kudiscourage matumizi ya hio pesa, zipo nchi nyingi za hovyo na zna rate nzuri dola
Upuuzi mpuuzi huna cha kuniambiaunaweza pata elimu kidogo itakusaidia: TSH/KSH: Somo fupi exchange rates znapatikana wap na nani anaamua ziwe ngapi kwa ngapi
kodi tunazolipa ni kwa ajili ya manunuzi ya ndan na kulipa mishaharaNi kweli dola hutolewa na BoT kwa government procurement, na rate ya conversion ni ya serikali hilo sijakataa.
Lakini si kweli kwamba kodi haina mchango wowote kwa sababu Bila kodi, hakuna hela zitakazoingia kwenye reserves.
Manunuzi ya serikali nje ya nchi yanatumia kodi zetu kwa njia isiyo ya moja kwa moja, kodi inakusanywa inabadilishwa kuwa dola kupitia BoT, dola zinatumika kufanya manunuzi wa nje.
Hujakataa kule juu umesema nini kiazi mviringo kabisa shenzitaipuhatujakataa ile nmesema KODI TUNAOLIPA sjasema reserve
Tatizo huko shuleni sijui mnasoma nini? Tafuta form five yoyote anayesoma EGM akufundishe topic ya demand and supply. Nenda Kasome vipengele vya encourage/discourage imports.hakuna conversion yoyote inafanyika, rate unayoiona ya dola to tsh ni kwa ajili ya wananchi wa kawaida, haina uhusiano wowote na uchumi ni rate za kisiasa either ku encourage ama kudiscourage matumizi ya hio pesa, zipo nchi nyingi za hovyo na zna rate nzuri dola
demand and supply ni topic za kisiasa, nlishaelezea zaidi kuhusu exchange rates unaweza pitia apa: TSH/KSH: Somo fupi exchange rates znapatikana wap na nani anaamua ziwe ngapi kwa ngapiTatizo huko shuleni sijui mnasoma nini? Tafuta form five yoyote anayesoma EGM akufundishe topic ya demand and supply. Nenda Kasome vipengele vya encourage/discourage imports.
Kumamakomsengejifunze kusoma kuelewa na sio kubisha ama tafuta ela depression itakuaa
Pumbavueeeh ndo sisi
Mkuu uko sawa kichwani kweli?Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu