Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Kitendo cha serikali kutumia nguvu kubwa kuminya uhuru wa watu kuandamana na badala yake watu wametii na kuamua kukaa ndani, hapo kiuhalisi walioshinda ni wale walioamua kukaa kimya .
Ni sawa unagombana na mtu unajimaliza kwa kila kitu, unamsukuma mtu, una mdhihaki, una mtusi lakini mtu huyo kaamua tu kukaa kimya.
Hapo wewe uliye bwabwaja utaonekana tatizo zaidi kuliko yule aliyeamua kukaa zake kimya na kujifanya mjinga.
Dunia yote macho yapo Tanzania, kila kimachofanyika kinafuatiliwa kwa jicho la karibu sana.
Hivyo sasa inakuwa vyepesi zaidi wananchi kusikilizwa na vyombo vya nje maana mpaka hapo ataonekana nani mwenye shida zaidi kati ya wananchi na serikali yao.