Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
mpaka 2025 kutakua hakuna hata nukta ya hoja ambayo itakua haijaguswa na huyo mjaaa.Fikiria suala dogo kama kupeleka maji kwenye mji mdogo wa Katoro ambao upo jirani na ziwa Victoria nalo linahitaji waziri wa maji kupigiwa simu. Huu ni uzembe wa serikali ilyopo madarakani wala sio sifa kwa Makonda kupiga simu.
Suala dogo la dhuluma kwa wananchi ambalo kwa serikali makini hata mtendaji wa kata tu anaweza kulitatua lakini eti mpaka Makonda amwinue mkuu wa wilaya!
Hii ni kudhihilisha wazi kuwa mama Samia na serikali yake wameshindwa kutatua kero za wananchi kama inavyotakiwq kwa kutumia viongozi wenye dhamana hizo.
Sina hata buku hapa nilipoKiuhalisia hichi ulichoandika hakina impact katika kuboresha kipato chako. Achana na siasa.
Nikiamka leo nitakula nini?Kiuhalisia hichi ulichoandika hakina impact katika kuboresha kipato chako. Achana na siasa.
Pumbavu kabisa, kwa hiyo unakiri kuwa rais Samia hawezi kukemea viongozi wazembe yupo yupo tu kama boya.Hizo ziara zina positive impact nyingi tu. SSH hana uwezo na hapendi zile hulka za marehemu JPM za kuinua viongozi majukwaani na kuanza kuwafokea na kuwadhalilisha. Katika awamu yake kaamua kazi hiyo ifanywe na Makonda.
Hiyo ndio positive impact ya hizi ziara, kuonyesha kwamba ni serikali iliyo karibu na wananchi kwa kushughulikia kero zao moja kwa moja.
SSH ni mwanademokrasia lakini mpole na hapendi kujibizana majukwaani na wasaidizi wake. Kamwachia Makonda aifanye kazi hiyo ngumu.
Pumbavu wewe usioweza kujadili kwa kujenga hoja bila ya kuleta matusi.Pumbavu kabisa, kwa hiyo unakiri kuwa rais Samia hawezi kukemea viongozi wazembe yupo yupo tu kama boya.
Tuma namba tukuchangie mwana
Nitashindia mihogo ya jero. Sihitaji msaada wa majangiriTuma namba tukuchangie mwana
Siasa za majukwaani. Pumbavu nini maana ya mkuu wa nchi? Mbona alizunguka Tanzania nzima majukwaani kuomba kura.? Pumbavu huna akiliPumbavu wewe usioweza kujadili kwa kujenga hoja bila ya kuleta matusi.
Kutukana na kukemea viongozi majukwaani ni kutafuta sifa za muda mfupi tu, zenye uhai wa pale pale jukwaani inapokuwepo hadhara ya washangiliaji. JPM aliziweza sana siasa hizi kwani ziliiweka awamu yake karibu na mioyo ya wanyonge.
SSH hazihitaji sana siasa za majukwaani, yeye ni mtekelezaji wa kivitendo wa yale yanayotakiwa kufanywa moja kwa moja na serikali anayoiongoza. Kila kiongozi ana kipaji chake na kwa namna moja au nyingine kinagusa maisha ya hao hao washangiliaji moja kwa moja.
Usiwajibu wanaojitanabaisha kuwa ni waji..a.Sina hata buku hapa nilipo
Pumbavu wewe usiye na staha ya kukubali kukosolewa.Siasa za majukwaani. Pumbavu nini maana ya mkuu wa nchi? Mbona alizunguka Tanzania nzima majukwaani kuomba kura.? Pumbavu huna akili
[emoji817] % nakuunga mkono! Hivi wanadhani wananchi wa sasa ni wale wa 1960's ?Siasa za majukwaani. Pumbavu nini maana ya mkuu wa nchi? Mbona alizunguka Tanzania nzima majukwaani kuomba kura.? Pumbavu huna akili
Dhuluma zipo na zitaendelea kuwepo hiyo njia anayotumia Makonda ndio Mwendazake aliitumia.Fikiria suala dogo kama kupeleka maji kwenye mji mdogo wa Katoro ambao upo jirani na ziwa Victoria nalo linahitaji waziri wa maji kupigiwa simu. Huu ni uzembe wa serikali ilyopo madarakani wala sio sifa kwa Makonda kupiga simu.
Suala dogo la dhuluma kwa wananchi ambalo kwa serikali makini hata mtendaji wa kata tu anaweza kulitatua lakini eti mpaka Makonda amwinue mkuu wa wilaya!
Hii ni kudhihilisha wazi kuwa mama Samia na serikali yake wameshindwa kutatua kero za wananchi kama inavyotakiwq kwa kutumia viongozi wenye dhamana hizo.
Hiyo ndio kazi yake kufukua madudu ili viongoz waendane na ilani ya chama, tushukuru kumpata makonda, makonda ni mpango wa mungu, hakuna kiongozi kutoka kanda ya ziwa akawa mzembe, wote wamejaa uzalendo.Fikiria suala dogo kama kupeleka maji kwenye mji mdogo wa Katoro ambao upo jirani na ziwa Victoria nalo linahitaji waziri wa maji kupigiwa simu. Huu ni uzembe wa serikali ilyopo madarakani wala sio sifa kwa Makonda kupiga simu.
Suala dogo la dhuluma kwa wananchi ambalo kwa serikali makini hata mtendaji wa kata tu anaweza kulitatua lakini eti mpaka Makonda amwinue mkuu wa wilaya!
Hii ni kudhihilisha wazi kuwa mama Samia na serikali yake wameshindwa kutatua kero za wananchi kama inavyotakiwq kwa kutumia viongozi wenye dhamana hizo.
Duu. Mkuu nimeangalia picha za uliowazingira kwz kalamu nyekundu nikacheka. Kama sura za Kisukuma zilizokosa matumaini hivi.[emoji817] % nakuunga mkono! Hivi wanadhani wananchi wa sasa ni wale wa 1960's ?
Hawajui huko mitaani wanako hutubia kisanii eti kwa kuingia na farasi au baiskeli mkutanoni wamejaa vijana graduates na wa elimu ya kati wasio na ajira na wanategemea kusikia kiongozi akizungumzia hoja ambazo zitatoa njia ya ufumbuzi badala ya usanii wa kijinga?
Na sio vijana tu walio stuka bali hata mazee ya CCM nayo yanaona mbona jamaa anatufanya mafala?
View attachment 2811087
Naunga mkono hoja,kama wahusika Wameshindwa lazima wenye chama washike hatamu.Hiyo ndio kazi yake kufukua madudu ili viongoz waendane na ilani ya chama, tushukuru kumpata makonda, makonda ni mapango wa mungu, hakuna kiongozi kutoka kanda ya ziwa akawa mzembe, wote wamejaa uzalendo.
Pumbavu wewe kenge acha kutumia mavi kufikiri. Kwa nini rais anateua mawaziri, wakuu wa mikoa na wa wilaya? Maafisa tarafa na watendaji wa kata na vijiji? Wakurugugenzi ?Naunga mkono hoja,kama wahusika Wameshindwa lazima wenye chama washike hatamu.
Ikiwa too much atakwambia Mwenyekiti awatimue Wale mizigo wote.Hata kina Nape waliowahi kuja na orodha wa Mawaziri mizigo chama kikawakataa.
Uenezi wa bila kutatua kero hapo unweneza nini?
Wewe una akili sana mkuuHizo ziara zina positive impact nyingi tu. SSH hana uwezo na hapendi zile hulka za marehemu JPM za kuinua viongozi majukwaani na kuanza kuwafokea na kuwadhalilisha. Katika awamu yake kaamua kazi hiyo ifanywe na Makonda.
Hiyo ndio positive impact ya hizi ziara, kuonyesha kwamba ni serikali iliyo karibu na wananchi kwa kushughulikia kero zao moja kwa moja.
SSH ni mwanademokrasia lakini mpole na hapendi kujibizana majukwaani na wasaidizi wake. Kamwachia Makonda aifanye kazi hiyo ngumu.
Mkuu waache waendelee kubwata,watarudi kulia hapa jukwaani baada ya kipigo cha Mbwa Koko.Makonda anachofanya kina impact kubwa sana kuteka akili za wapiga kura!mpaka 2025 kutakua hakuna hata nukta ya hoja ambayo itakua haijaguswa na huyo mjaaa.
na hatimae akili zitawakaa sawa watoa taarifa kwamba mbona ni kama hakuna ambacho bado hakijafanywa na serikali ?
Mambo yote yaliyo ahidiwa mijini na vijijini lazima yatekelezwa kwa uzito na kiwango stahiki, hakuna dogo mbele ya CCM