kookaburra
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 563
- 1,416
usiwastue sasa, waache wajieleleze wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu unabaki kuwa ni mtazamo wako binafsiFikiria suala dogo kama kupeleka maji kwenye mji mdogo wa Katoro ambao upo jirani na ziwa Victoria nalo linahitaji waziri wa maji kupigiwa simu. Huu ni uzembe wa serikali ilyopo madarakani wala sio sifa kwa Makonda kupiga simu.
Suala dogo la dhuluma kwa wananchi ambalo kwa serikali makini hata mtendaji wa kata tu anaweza kulitatua lakini eti mpaka Makonda amwinue mkuu wa wilaya!
Hii ni kudhihilisha wazi kuwa mama Samia na serikali yake wameshindwa kutatua kero za wananchi kama inavyotakiwq kwa kutumia viongozi wenye dhamana hizo.
Anakufanya fala ama unajifanya falamwenyewe, kwani umeombwa kukulia hapo?.[emoji817] % nakuunga mkono! Hivi wanadhani wananchi wa sasa ni wale wa 1960's ?
Hawajui huko mitaani wanako hutubia kisanii eti kwa kuingia na farasi au baiskeli mkutanoni wamejaa vijana graduates na wa elimu ya kati wasio na ajira na wanategemea kusikia kiongozi akizungumzia hoja ambazo zitatoa njia ya ufumbuzi badala ya usanii wa kijinga?
Na sio vijana tu walio stuka bali hata mazee ya CCM nayo yanaona mbona jamaa anatufanya mafala?
View attachment 2811087