[emoji817] % nakuunga mkono! Hivi wanadhani wananchi wa sasa ni wale wa 1960's ?
Hawajui huko mitaani wanako hutubia kisanii eti kwa kuingia na farasi au baiskeli mkutanoni wamejaa vijana graduates na wa elimu ya kati wasio na ajira na wanategemea kusikia kiongozi akizungumzia hoja ambazo zitatoa njia ya ufumbuzi badala ya usanii wa kijinga?
Na sio vijana tu walio stuka bali hata mazee ya CCM nayo yanaona mbona jamaa anatufanya mafala?
View attachment 2811087