Pre GE2025 Kiukweli 2025 simuoni Rais Samia akishinda kwenye Boksi la kura kama upinzani wakiweka mtu mahiri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapo kwenye upinzani legelege ndio umepatia japo wao hawapendi huu ukweli. Yaani mimi upinzani wa Tz siulewi kabisa sijui wanataka dola au wapo kwa ajili ya harakati tu. Hadi sasa hawajaandaa presidential candidate ambaye anayekubalika na wananchi na mfumo yaani ukiwatizama kule karibu wote wanataabia za kiuwanaharakati na wakiwa wanaongea huoni kama wapo serious ni kama wanakuwa na aibu aibu sababu kila wanachosema sasa hivi kuhusu rushwa, uzembe na ufisadi serikalini kwamba wao wakipewa dola wataweza ondoa hii kitu wananchi kimoyomoyo wanajiuliza mbona hivyo ndivyo alivyofanya JPM na wao wakampinga. Wao ili wawe na nguvu ya kuishinda ccm ilipaswa angalau watumie falsafa ya JPM ambaye wananchi walionekana kuipenda ila ndio hivyo wao wanaishia kumkejeli kila siku.
 
Magufuli aliwaumiza wapinzani hawataweza kumsifia.
 
Mzee wetu wa ubwabwa sijui atagombea nae
 
CCM waajabu sana, et Diwani darasa la 7 ananikolomea mi Doctor wa Binadamu mwenye Degree. Nilimwambia chezea wenginee.
Hivi huo utaratibu wa diwani kukutana na mtaalamu kwenye shughuli za kikazi upo Bongo Tu au hata nchi zilizoendelea. Labda huo ndio inakuwa ni Mwanzo wa udumavu wetu.
 
Watibeli tutatoa tamko kuwa tutakuwa upande wa Samia au Laa.

Watanzania wanachagua kiongozi kwa ushabiki wa uchama. Hata kama kiongozi hana sifa lakini kwa vile ni chama chake atamchagua. Wengi wapo hivyo

.😄
Samia anamazuri yake na mabaya yake.
Ila ninampongeza katika suala la utulivu na kuwa mvunilivu kwa wapinzani wake. Ingawaje sio uvumilivu wa 100% lakini unaridhisha

Kwenye siasa uongeaji ni sehemu ya siasa. Tunazungumzia nguvu ya kushawishi watu.
Sio lazima uwajaze watu matumain hewa ndipo uwashasishi.
Unaweza kuwaambia ukweli na ukawashawishi
Watibeli mnasemaje hii Timua timua?
 
Ila kupunguza zereuuu za CCM inabidi kweli apite mpinzani 2025,Heshima itarudi hata wakija kuchukua nchi.Angalizo,Mbowe hatumtaki,Lisu atulie tunajua nimtu smart lakini Energy ya kazi kubwa kama Urais hataweza.Wamchukue Makonda au Mpina au yeyote hakika nchi wanabeba.
Yeyote hata Lucas?
 
Watibeli tutatoa tamko kuwa tutakuwa upande wa Samia au Laa.

Watanzania wanachagua kiongozi kwa ushabiki wa uchama. Hata kama kiongozi hana sifa lakini kwa vile ni chama chake atamchagua. Wengi wapo hivyo

.😄
Samia anamazuri yake na mabaya yake.
Ila ninampongeza katika suala la utulivu na kuwa mvunilivu kwa wapinzani wake. Ingawaje sio uvumilivu wa 100% lakini unaridhisha

Kwenye siasa uongeaji ni sehemu ya siasa. Tunazungumzia nguvu ya kushawishi watu.
Sio lazima uwajaze watu matumain hewa ndipo uwashasishi.
Unaweza kuwaambia ukweli na ukawashawishi

Samia atakuwa na wakati mgumu kama wapinzani wakimsimamisha Tundu Lissu. Changamoto ninayoiona ni nguvu ya kujenga hoja na ushawishi aliyonayo Lissu ukimlinganisha na Samia Suluhu.
 
Magufuli aliwaumiza wapinzani hawataweza kumsifia.
Na wala hawakupaswa kumsifia na pia hawakupaswa kuendelea kumkosa especially kipindi hiki ambacho hayupo. Kama kuna kiongozi alifanya mambo mengi ambayo upinzani ulikuwa ukiyapigia kelele toka vyama vingi vianze kwa mtizamo wangu ni Magufuli, hadi ilifikia kipindi wakasema anatekeleza sera zao, sasa sijui nini kiliwapata wakamgeuka.

Angalau sasa hivi chadema wa mtu ambaye hata ukimsikiliza akihutubia anaongea vitu na fact vyenye kugusa maisha ya wananchi moja kwa moja yaani ana ushawishi fulani hivi na uwezo wa kujenga hoja bila kutumia lugha kali, huyu si mwingine bali ni shekhe Kadogoo. Kama wasipombadilisha naye akaanza kupinga kila kitu na kushambulia watu kwa maneno makali basi huyu anaweza kuleta matumaini mapya chadema.
 
Back
Top Bottom