Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #201
Kwani Magu alishinda?
2020 alishinda Kwa kishindo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Magu alishinda?
Tusubiri tuoneKura ndio zinatambulika kikatiba.
Hizo zingine ni nje ya katiba
Ndio maana nikasema hatoboi kwenye kura. Kama kuna mbinu nyingine hizo hazitambuliki
Tena kwa kishindo, na wengi walimpigia kuraSema CHADEMA wanajifanya kupinga ila 2020 JPM alishinda kabisa licha ya mapungufu ya hapa na pale!
Mimi nitameza vipande vya chupaNina uhakika Chura Kiziwi akipata hata kura ml 1 za uhalali, nahama nchi
Hawezi pita hata kidogoMimi nitameza vipande vya chupa
Hafai, ufisadi umezidi sana!Mtibeli amehama Africa mbn hajagusia free and fair election.
Hapo kwenye upinzani legelege ndio umepatia japo wao hawapendi huu ukweli. Yaani mimi upinzani wa Tz siulewi kabisa sijui wanataka dola au wapo kwa ajili ya harakati tu. Hadi sasa hawajaandaa presidential candidate ambaye anayekubalika na wananchi na mfumo yaani ukiwatizama kule karibu wote wanataabia za kiuwanaharakati na wakiwa wanaongea huoni kama wapo serious ni kama wanakuwa na aibu aibu sababu kila wanachosema sasa hivi kuhusu rushwa, uzembe na ufisadi serikalini kwamba wao wakipewa dola wataweza ondoa hii kitu wananchi kimoyomoyo wanajiuliza mbona hivyo ndivyo alivyofanya JPM na wao wakampinga. Wao ili wawe na nguvu ya kuishinda ccm ilipaswa angalau watumie falsafa ya JPM ambaye wananchi walionekana kuipenda ila ndio hivyo wao wanaishia kumkejeli kila siku.
Hivi huo utaratibu wa diwani kukutana na mtaalamu kwenye shughuli za kikazi upo Bongo Tu au hata nchi zilizoendelea. Labda huo ndio inakuwa ni Mwanzo wa udumavu wetu.CCM waajabu sana, et Diwani darasa la 7 ananikolomea mi Doctor wa Binadamu mwenye Degree. Nilimwambia chezea wenginee.
Watibeli mnasemaje hii Timua timua?Watibeli tutatoa tamko kuwa tutakuwa upande wa Samia au Laa.
Watanzania wanachagua kiongozi kwa ushabiki wa uchama. Hata kama kiongozi hana sifa lakini kwa vile ni chama chake atamchagua. Wengi wapo hivyo
.😄
Samia anamazuri yake na mabaya yake.
Ila ninampongeza katika suala la utulivu na kuwa mvunilivu kwa wapinzani wake. Ingawaje sio uvumilivu wa 100% lakini unaridhisha
Kwenye siasa uongeaji ni sehemu ya siasa. Tunazungumzia nguvu ya kushawishi watu.
Sio lazima uwajaze watu matumain hewa ndipo uwashasishi.
Unaweza kuwaambia ukweli na ukawashawishi
Wameweka wapi Kaka?😅😅😅Haya mabango wanayoweka mpaka chooni sio bahati mbaya, hali ni mbaya
Kwani Magu alishinda?
Hofu ile.....Tundu Lissu alimsumbua sanaMagufuli alikuwa na uwezo wa kushinda kihalali, badala yake akapora uchaguzi mzima.
Hofu ile.....Tundu Lissu alimsumbua sana
Yeyote hata Lucas?Ila kupunguza zereuuu za CCM inabidi kweli apite mpinzani 2025,Heshima itarudi hata wakija kuchukua nchi.Angalizo,Mbowe hatumtaki,Lisu atulie tunajua nimtu smart lakini Energy ya kazi kubwa kama Urais hataweza.Wamchukue Makonda au Mpina au yeyote hakika nchi wanabeba.
Watibeli tutatoa tamko kuwa tutakuwa upande wa Samia au Laa.
Watanzania wanachagua kiongozi kwa ushabiki wa uchama. Hata kama kiongozi hana sifa lakini kwa vile ni chama chake atamchagua. Wengi wapo hivyo
.😄
Samia anamazuri yake na mabaya yake.
Ila ninampongeza katika suala la utulivu na kuwa mvunilivu kwa wapinzani wake. Ingawaje sio uvumilivu wa 100% lakini unaridhisha
Kwenye siasa uongeaji ni sehemu ya siasa. Tunazungumzia nguvu ya kushawishi watu.
Sio lazima uwajaze watu matumain hewa ndipo uwashasishi.
Unaweza kuwaambia ukweli na ukawashawishi
Na wala hawakupaswa kumsifia na pia hawakupaswa kuendelea kumkosa especially kipindi hiki ambacho hayupo. Kama kuna kiongozi alifanya mambo mengi ambayo upinzani ulikuwa ukiyapigia kelele toka vyama vingi vianze kwa mtizamo wangu ni Magufuli, hadi ilifikia kipindi wakasema anatekeleza sera zao, sasa sijui nini kiliwapata wakamgeuka.Magufuli aliwaumiza wapinzani hawataweza kumsifia.