Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
kama alikua peke yake si wangemuacha aandamane ili aipate aibu vizuri, au walimzuia kumuokoa na aibu, eti ehhe.Hakika ni Aibu kubwa. Hii aibu naifananiaha na ya mwalimu wetu mkuu alikosa kura hata moja, staff walipiga kura za maoni kwenye kesi fulani ya nani asamehewe, au nani hahusiki. Ni Aibu kubwa na aliacha ualimu. Bora hiyo cha kitoto.
Mbowe wamemuaibisha sana
Kwanza hakuna maandamano ya mtu 1 wangemuacha tu achape lapa mwenyewe