Hadi ulishitaki/mshitaki askari polisi upate haki mpaka uwe na mtu anaekusimamia mwenye sauti serikalini!! Chunguza utajua!! Kiundwe chombo kilisimamie hilo jeshi litawamaliza wananchi kwa kesi ovu na mauaji ya kimya kimyaNani aliyekudanganya kuwa hawashitakiwi?
Mgao wa uharifu wa polisi inamfikia igp na waziri ndio maana wananyamazia ushetani huu. Angalia jinsi maafisa waandamizi wanavyosimama mahakamani kutoa ushahidi wa uongo katika kesi ya mbowe. CCM inahitaji kupumzika hawa, imechakaaPolisi tz limekuwa jeshi ambalo linaweza kubambika kesi kwa yeyote wamtakae na lisihojiwe na chombo chochote! Wameenda mbali wanaua mtu yeyote hasa wafanyabishara endapo wataona ana mali za kumpora...
Unataka waniue ila Mimi siguswi na hivi vijipolisiUkikutana nao wapo doria simamisha gari lao uwaeleze haya unayo eleza ili wajue hatuwataki
Reali mkuu Sirro should goSIRRO SHOULD GO!!
Bila Kusahau chombo cha kusimamia chombo kinachosimamia chombo....
Kuweka mambo rahisi ingefahamika ikajulina na ikatekelezwa kwamba No One, absolutely No One is above the Law
Vituo vya polisi kuna uozo mkubwa snNani ataacha kuamini kuwa Mosses Lingw'enya aliuwawa akiwa mikononi mwa polisi?
Nani ataacha kuamini kuwa wanachodai watuhumiwa wenzake na Mbowe ni kweli kuwa walipigwa na kuteswa?
Watuhumiwa wa makosa ya jinai wanatendea ndivyo sivyo na jeshi la polisi huku Igp hachukui hatua kujiuzulu.