Kiungo mshambuliaji Augustine Okrah raia wa Ghana, atambulishwa Simba SC

Anacheza na akina nani huko kwenye ligi atokayo?
Nimeangalia Video zake, ni avarage player, na mbaya zaidi hatuna bahati ya kupata watu makini kutoka Afrika Magharibi.

MTASAGA MENO MPAKA MKOME.
MORRSION mmemsajiri majuzi anatokea Zambia Sio ?
 
Tuliaaminishwa kwamba Bigirimana ana miaka 28 sawa kabisa na Okrah na tulipojaribu kupinga tulioenekana hatuna akili, haya leo wewe unajaribu kusema kuwa Biringanya ni mzee na anaelekea kustaafu?

Uto hamjawahi kujielewa[emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23] uto ni wangese sana
 
Huyu kapotea njia wenzake wanakwenda Ulaya yy anakwenda MAKOLO kweli wanders shall never end...
Haya haya Makolo ambayo hata kikombe cha chai hayana
Sasa kuna watu wanatoka ulaya wanaenda utopolo we unamsemea huyo kutoka tu hapo ghana [emoji1][emoji1][emoji1]
 
unaagiza as if mtu mwenye hisa kubwa simba kumbe bachela mwenye kende tu hata demu huna.
 
Hapa simba imekuwasanya magoli 46 kutoka ligi tatu tofauti wakati Yanga wakikusanya magoli 4 kutoka nchi tatu tofauti

Phiri 14
Okrah 14
Manzok 18 (kama usajili ni kweli)
Jumla 46

Morisoni 0
Kambole 2
Bigrlimana 2
Jml 4
Wawekee tu na Mayele 16 iwe 20!

Huyo Mayele aliyeshindwa kushindana na G. Mpole atamuweza Phiri? anyway akishindwa hapo ajaribu kwa Okrah, akishindwa na hapo akajaribu kwa Kyombo!.
 
Huyu biringanya ni kama kuuziwa bdhaa online kupitia Kikuu..washapigwa watu huko...wamebweteka na kwa kuona kuchezea ulaya miaka 12 ndo bdo upo vile vile...jamaa kashaachana na carrier ya mpira...alikuwa store keeper pale stockharm
 
Kaze mjanja sana ,kampatia dili uncle wake
 
Wawekee tu na Mayele 16 iwe 20!

Huyo Mayele aliyeshindwa kushindana na G. Mpole atamuweza Phiri? anyway akishindwa hapo ajaribu kwa Okrah, akishindwa na hapo akajaribu kwa Kyombo!.
sometimes najiuliza tatizo la Kibu kukosa kosa chances za wazi kibao ni tatizo linalorekebishika au sugu? Maana jamaa kakosa chances nyingi sana now naanza kupata furaha labda kuna mtu ataziba lile pengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…