Kiutendaji, Waziri Ridhwani Kikwete akiamua kutokomeza watekaji na wasiojulikana, anaweza....ila...

Hili swalanla wasiojulikana kujiamulia watakavyo linalotuumiza vichwa, ni jambo dogo sana ikiwa Waziri Ridhwani Kikwete akiamulia kulivalia njuga.

Awamu ya pili ya mzee Mwinyi marehemu, Aliinuka Mtu mmoja tokea kule Kilimanjaro aliitwa Lyatonga Mrema, alikuwa akitamka Neno, ndani ya masaa kadhaa nchi mzima inazizima na kauli yake inatekelezwa, majambazi na polisi wanalijua hili.

Sasa Kwa Ridhwani Kikwete yeye hahitaji kufanya hivyo maana yeye ni smart, mpole, mnyenyekevu, akiamua kumwambia Shehe Mwaipopo, kwamba Rudisha hao Mbwa mwitu bandani, Shehe Mwaipopo atatii na huu ujinga utakoma mara moja.

Ndugu Kikwete junior, hili kiutendaji lipo mikononi mwako, nakushauri jipe ujasiri, wambie INATOSHA, uone kama Kuna hata mmoja atakayeguna.

Nimemaliza ushauri wangu kwako, sikulazimishi, nakusihi.
Yaani unataka mtoto apambane na wauwaji wanao linda maslahi ya baba yake na familia yake na yeye akiwemo? Haupo serious wewe.
 
Kwani wizara ya Riz one ipo ofisi ya nani?

Mishahara inatolewa na nani?
TISS ni Semi Autonomous ni kama ilivyo TRA mishahara yake haitoki wizara ya Fedha au JWTZ mishahara yao haitoki wizara ya Ulinzi President >JWTZ haiko Attached moja kwa moja wizarani kutokana na Unyeti wa Taasis ni President CS Director General of TISS
IMG_3858.jpeg
 
Hili swalanla wasiojulikana kujiamulia watakavyo linalotuumiza vichwa, ni jambo dogo sana ikiwa Waziri Ridhwani Kikwete akiamulia kulivalia njuga.

Awamu ya pili ya mzee Mwinyi marehemu, Aliinuka Mtu mmoja tokea kule Kilimanjaro aliitwa Lyatonga Mrema, alikuwa akitamka Neno, ndani ya masaa kadhaa nchi mzima inazizima na kauli yake inatekelezwa, majambazi na polisi wanalijua hili.

Sasa Kwa Ridhwani Kikwete yeye hahitaji kufanya hivyo maana yeye ni smart, mpole, mnyenyekevu, akiamua kumwambia Shehe Mwaipopo, kwamba Rudisha hao Mbwa mwitu bandani, Shehe Mwaipopo atatii na huu ujinga utakoma mara moja.

Ndugu Kikwete junior, hili kiutendaji lipo mikononi mwako, nakushauri jipe ujasiri, wambie INATOSHA, uone kama Kuna hata mmoja atakayeguna.

Nimemaliza ushauri wangu kwako, sikulazimishi, nakusihi.
Atawatokomezaje wakati naye ni mmoja na kiongozi wao?
 
Kama Kuna mtu nimemkwaza, anisamehe,

Nasumbuliwa na kumbukumbu mbaya zilizogoma kufutika kichwani za ndugu zangu waliofumuliwa ubongo Oct 29.
Ila KWELI kabisa toka moyoni umenikwaza Sana, Naona umekazana huyo mtoto wa jk unampigia debe.
Hawa CCM ndo wauwaji iweje wewe uone huyo mtoto wa Rais anayeendesha nchi kwa remote kwamba eti anafaa kutatua Mauaji wanayoyafanya?
 
Ungesoma Kwa ufahamu ungeelewa.

Unadhani kwanini machawa hawachangii Uzi huu?
 
Hili swalanla wasiojulikana kujiamulia watakavyo linalotuumiza vichwa, ni jambo dogo sana ikiwa Waziri Ridhwani Kikwete akiamulia kulivalia njuga.

Awamu ya pili ya mzee Mwinyi marehemu, Aliinuka Mtu mmoja tokea kule Kilimanjaro aliitwa Lyatonga Mrema, alikuwa akitamka Neno, ndani ya masaa kadhaa nchi mzima inazizima na kauli yake inatekelezwa, majambazi na polisi wanalijua hili.

Sasa Kwa Ridhwani Kikwete yeye hahitaji kufanya hivyo maana yeye ni smart, mpole, mnyenyekevu, akiamua kumwambia Shehe Mwaipopo, kwamba Rudisha hao Mbwa mwitu bandani, Shehe Mwaipopo atatii na huu ujinga utakoma mara moja.

Ndugu Kikwete junior, hili kiutendaji lipo mikononi mwako, nakushauri jipe ujasiri, wambie INATOSHA, uone kama Kuna hata mmoja atakayeguna.

Nimemaliza ushauri wangu kwako, sikulazimishi, nakusihi.
Ataamuaje kulitokomeza wakati linamkono wa baba yake.
 
ewe kijana wa chadema,mwaipopo anatoa mawazo yake tu,kama wanavyoyoa mawazo yao kina kitima,ruwaichi,,gwajima ama yule askofu mkondefu wa chadema,(nimesahau jina lake),freedom of expression
 
Back
Top Bottom