Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Dahhhh!!!
Dahhhh!!!
Pamoja na Samuya awaambie kule mjengon wafute ile sheria ya polisi kutokuwajibika kwa maagizo/matokeo yoyote yanayojiri katika kazi zao hata uzembe/hila u(zi)kihusishwa.Kama Kuna mtu nimemkwaza, anisamehe,
Nasumbuliwa na kumbukumbu mbaya zilizogoma kufutika kichwani za ndugu zangu waliofumuliwa ubongo Oct 29.
Je Mwaipopo ana kikundi cha jeshi kiitwacho mbwa mwitu? aliotaka kuwatumia kuchinja waandamanaji. Unafikiri anasakamwa bure?ewe kijana wa chadema,mwaipopo anatoa mawazo yake tu,kama wanavyoyoa mawazo yao kina kitima,ruwaichi,,gwajima ama yule askofu mkondefu wa chadema,(nimesahau jina lake),freedom of expression
ule ulikua mkwara tuJe Mwaipopo ana kikundi cha jeshi kiitwacho mbwa mwitu? aliotaka kuwatumia kuchinja waandamanaji. Unafikiri anasakamwa bure?
kumbe, ila kutishia kuchinja mtu hakunaga mkwara ni jinai tu. labda kama ungesema zile zilikuwa ni siasa tu kama Lisu alivyoongea wakaishia kumtwika hili walilomtwika! Tukubariane maneno yanayotamkwa katika jukwaa la siasa ni mambo ya kisiasa sio kusumbuana kama hivi. Sasa Mwaipopo alisimama katika Jukwaa lipi la siasa?ule ulikua mkwara tu
ilikus mkwara tu,ila haina maana kuwa akina lisu na kitima wakifanikiwa njama zao watu hawatareact,ndo tunarudi kule kule kwenye ishu ya sudani,,wanaharakati walifanikiwa njama zao,lakini kila mtu aliingia mzigoni kupambania interests zake,the rest is history🤗kumbe, ila kutishia kuchinja mtu hakunaga mkwara ni jinai tu. labda kama ungesema zile zilikuwa ni siasa tu kama Lisu alivyoongea wakaishia kumtwika hili walilomtwika! Tukubariane maneno yanayotamkwa katika jukwaa la siasa ni mambo ya kisiasa sio kusumbuana kama hivi. Sasa Mwaipopo alisimama katika Jukwaa lipi la siasa?
Alisimama yeye kama yeye lakini hakuitisha serikali yenye jukumu la kuwalinda raia! ila Lisu aliitisha serikali? Jibu la hili tusubiri Nov.6