Kivuli cha Hayati Magufuli kinataka kumtingisha Rais Samia

nadhani huyo unayetaka kumsifu hivyo wee endelea kumsifu tu, ila naye ana mwisho wake. Niliwaona mama ntilie na machinga dodoma wanavyohangaika barabarani, wanabomolewa mabanda yao alafu kule kule machinga hakutoshi. migambo wamepata nguvu tena kama awamu zile kabla ya JPM, ila nawaambieni nyie wote ambao hamjui shida za watu wa chini endeleeni kujitia wazimu ila mjue ipo siku ipo mwisho
 
Watanzania sisi tunahitaji vitu vidogo vidogo tuu huyu mama kashindwa.
 
Hujaeleweka umepuliza au umeuma, be straight tangu lini Rais kazungukwa na wafuasi wa Magufuli tuache visingizio, Samia ahukumiwe Kwa alichokiamua yeye, Magufuli kazikwa na Samia hawezi kujivua gamba la Magufuli alikuwa VP, kisingizio Cha wafuasi wa Magufuli si hoja. Kila mtu apambane na yake. Kila mtu na daftari lake, pencil yake na mitihani yake.
Akaze tu kwenye Maarifa, bidii, ustahimilivu na usikivu
 
𝙈𝙢𝙢𝙝 𝙝𝙞𝙞 𝙣𝙘𝙝𝙞 𝙣𝙜𝙪𝙢𝙪 𝙨𝙖𝙣 𝙠𝙪𝙣 𝙬𝙖𝙩𝙪 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙩𝙪𝙢𝙞𝙖 𝙫𝙗𝙮𝙖 𝙪𝙝𝙪𝙧𝙪 𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙯𝙣𝙜𝙢𝙯𝙖 . 𝙠𝙞𝙡𝙖 𝙢𝙩𝙪 𝙖𝙣𝙖 𝙝𝙖𝙠𝙞 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙤𝙣𝙜𝙝 𝙡𝙠𝙣 𝙖𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙝 𝙪𝙣𝙖𝙤𝙣𝙜𝙝 𝙣𝙣 𝙪𝙨𝙞𝙬𝙚 𝙗𝙚𝙣𝙙𝙚𝙧𝙖 𝙛𝙖𝙩𝙖 𝙪𝙥𝙚𝙥𝙤 𝙠𝙞𝙪 𝙝𝙖𝙡𝙞𝙨𝙞𝙖 𝙝𝙖𝙩𝙖 𝙫𝙮𝙖𝙢𝙖 𝙥𝙞𝙣𝙯𝙖𝙣𝙞 𝙣𝙖𝙙𝙝𝙖𝙣𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙨𝙝𝙪𝙝𝙪𝙙𝙞𝙖 𝙪𝙩𝙤𝙛𝙖𝙪𝙩𝙞 𝙠𝙖𝙩𝙞 𝙮 𝙖𝙬𝙖𝙢 𝙝𝙯 𝙢𝙗𝙞𝙡𝙞 .𝙞𝙨𝙩𝙤𝙭𝙝 𝙢𝙖𝙢𝙖 𝙢𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚𝙬 𝙖𝙣𝙖𝙨𝙚𝙢 𝙫𝙞𝙖𝙩𝙪 𝙫𝙮𝙖 𝙗𝙖𝙗𝙖 𝙝𝙖𝙫𝙞𝙢𝙩𝙤𝙨𝙝𝙞 𝙭𝙤 𝙝𝙖𝙫𝙞𝙫𝙖𝙞 𝙝𝙞𝙞 𝙞𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙖𝙣 𝙗𝙖𝙗𝙖 𝙖𝙡𝙞𝙠𝙪𝙬 𝙈𝙒𝘼𝙈𝘽𝘼𝘼𝘼 .𝙉𝙖 𝙢𝙖𝙙𝙝𝙖𝙞𝙛𝙪 𝙠𝙞𝙡𝙖 𝙢𝙩𝙪 𝙖𝙣𝙖𝙮𝙤 𝙘𝙝𝙖𝙢𝙨𝙣𝙜 𝙣𝙖𝙙𝙝𝙣 𝙩𝙪𝙖𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙚 𝙮𝙖 𝙢𝙨𝙞𝙣𝙜𝙞 (𝙢𝙖𝙟𝙞,𝙪𝙢𝙚𝙢𝙚,𝙝𝙪𝙙𝙪𝙢 𝙯𝙣𝙜𝙣𝙚 )𝙪𝙩𝙖𝙚𝙡𝙚𝙬𝙖 𝙣𝙖𝙣𝙞 𝙣𝙞 𝙣𝙖𝙣𝙞
 
Yeyote anaemsifia Magufuli kwa lolote ni mchawi muuwaji na fisadi. Zawadi bora kwa Magufuli ilikua kifo tu na huko alipo afe tena aoze tuu. Ikiwezekana afutwe kabisa hata mzimu wake upotee Tanzania. Magufuli binadamu wa hovyooo kuwahi kutokea.
 
..Magufuli alikuwa muuaji, msimung'unye maneno.
 
Kwa ujumla Rais Samia kafanya kazi kubwa mno. Mfano tu mfumuko wa bei ukilinganisha na Kenya au Uganda upo chini.
 
Hongera Mkuu Phillipo Bukililo kwa makala nzuri sana.
 
Magufuli ali-set juu sana standards za Urais. Marais wote wanaomfuata lazima wawe shadowed naye.
Kweli alifungua ukurasa mpya kabisa ndani ya akili za watu wengi ! Na ukurasa huo utawapa shida sana marais watakaofuata baada yake !!
 
 

Attachments

  • A9A4A25F-A5BD-4FAE-B7A5-1028E1886107.jpeg
    112 KB · Views: 2
  • ED0B7402-D7DC-4592-9442-08722BACDDED.jpeg
    101.6 KB · Views: 2
  • 88FB9E46-F7D4-409D-93C3-980B70EB77A9.jpeg
    63.3 KB · Views: 2
Kwa ujumla kila utawala. watendaji na viongozi huwa wana mapungufu, kama ilivyo ada ya kila binadamu, japo kiwango cha mapungufu hutofautiana. Mapungufu yakiyazidi mema, basi utawala huo, mtendaji huyo au kiongozi huyo, huonekana hafai.

Kwa ujumla, kwa kuweka vigezo vyote vya kiuongozi, hata kama Rais Samia akiwa na mapungufu, akilinganishwa na mtangulizi wake Hayati Magufuli, Rais Samia ni kiongozi bora maradufu ya Magufuli.

Sifa mbaya kabisa ya kiongozi ni udikteya, na udikteta siku zote huandamana na kudhulumu haki za watu, kuwatesa watu, kuua watu wanaohoji au kukosoa, kupora mali au fedha za umma akijua hakuna atakayehoji; na hizi zote ndiyo zilikuwa sifa mbaya kabisa za Hayati Magufuli. Alikuwa dikteta, muuaji, mtesaji, mpotezaji watu, mdhulumaji, na pia alikuwa mwizi na aliyeongoza nchi kwa hila, hadaa na udanganyifu mkubwa akijifanya mzalendo, huko akipora fedha za Serikali na za watu binafsi. TZS 1.5 trillion mpaka leo haijulikani aliipeleka wapi. Pesa walizodhulumiwa aliowaita wahujumu uchumi, alizipora yeye binafsi na watu wake wa karibu. Alifanya mambo madogo sana lakini yalikuzwa na wapambe wake wajinga na wanafiki ili yaonekane ni mambo makubwa sana.

Watu wote waliokuwa mashabiki wa Magufuli, nao ni waovu maana ni kwa vipi anayemsifia muuaji akawa mtu mwema? Hao wote watashiriki laana ile ile ya muuaji.
 
Hayo hayatuhusu, wananchi wa kawaida tunahitaji maji, umeme na unafuu kwenye mahitaji yetu ya kila siku, mwambieni mama yenu hali ni mbaya.
 
Yeyote anaemsifia Magufuli kwa lolote ni mchawi muuwaji na fisadi. Zawadi bora kwa Magufuli ilikua kifo tu na huko alipo afe tena aoze tuu. Ikiwezekana afutwe kabisa hata mzimu wake upotee Tanzania. Magufuli binadamu wa hovyooo kuwahi kutokea.
Ni ngumu kumfuta JPM mioyoni mwa Watanzania, mtahangaika sana kumchafua ila ni kazi bure. Kazi alizowafanyia watanzania hawa bado zinaishi na zitaishi milele, fanyeni kazi yenu tuwakumbuke na si blah blah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…