Kiwanda cha kutengeneza magari nchini Kenya,chatengeneza gari la MOBIUS,

Kwani Kantanka la Ghana stori zake ziliishia wapi. Nchi hata kujitosheleza kwa chakula na mahitaji mengine bado lakini inakimbilia kutengeneza gari. Ajabu hii.
WAnaohusika na chakula na wanaohusika na utengenezaji wa magari ni watu wawili tofauti.
 
limetengenezwa na waafrika tena ma-shithole haswaa??aaahh siwezi kupanda hata nishikiwe gobole...linaitwaje vile MOBIUS....
Nimerejea post za huko juu. sijaona post hata moja iliyokuomba upande hilo gari. Be positive.
 
Wengine wanasema Kenya wametushunda kwa kila kitu! Kama ndivyo tujiulize kati ya wakenya na watz ni wepi ambao wamejaa ktk nchi ya wenzao kusaka vibarua majumbani na maeneo ya starehe? Hicho kwangu ni kipimo kikubwa cha maendeleo endelevu na jumuifu. Huwezi kuanza majaribio ya kurusha roketi ama kutekeleza magari wakati watu wako zaidi ya asilimia 80 ni masikini wa kutupwa.
 
Haya sasa, nani atakaenunua wakati wanunuzi wenyewe hawana hata pesa ya kununulia unga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…