Japan wanalima mpunga. Unamaanisha nin kuuliza hilo swali? Point nilotaka kuweka ni kua haina haja kukimbilia mateknolojia ya starehe kama magari kwa Kenya wakati watu wanakufa kwa njaa. Wangegundua jembe la kuendeshwa labda kwa nguvu ya jua hapo ningewasifu zaidi.Japan wanalima chakula gani kweli!?
Kaliaga hayo, wenzio katika dunia ya leo wanatengeneza kitu kinacho uzika sokoni kuliko hayo mawazo yako ya kimasikini. Kama vipi, unaonaje hilo wazo ukilifanyia wewe kazi badala ya hao wenzio Wakenya walio amua kutengeneza gari!? Maandishi yako yamesukumwa na WIVU tu na sio kitu kingine.Japan wanalima mpunga. Unamaanisha nin kuuliza hilo swali? Point nilotaka kuweka ni kua haina haja kukimbilia mateknolojia ya starehe kama magari kwa Kenya wakati watu wanakufa kwa njaa. Wangegundua jembe la kuendeshwa labda kwa nguvu ya jua hapo ningewasifu zaidi.
Sisi tunayo zaidi ya miaka 20 tunatengeneza magari yetu yanayoitwa Nyumba hapo kibaha.
Wewe Mmawia vipi? Hivi hujui kuwa Kenya uchumi wake ni wa kati wa viwanda tangia miaka zaidi ya 10 iliyopita? Sasa kwa nini unataka kutulinganisha na wakenya?
Dhamira (Vision) yetu ni kuwa na sisi tuweze kuwa na uchumi wa kati wa viwanda ifikapo 2025. Vision hii itaweza kufikiwa si kwa kuwaonea wivu wakenya au wachina bali kwa kufanya kazi na kuacha porojo za siasa. Hapa Kazi tu ndiyo itatufikisha huko. Wakenya walishatutangulia kufika huko, hivyo hata na sisi tutakapofika huko wao watakuwa wameenda mbele zaidi unless porojo za siasa ziwe zimewarudisha nyuma!
Breaking news!!! polepole aubomoa upinzani kilimanjaro