Kiwanda cha kutengeneza magari nchini Kenya,chatengeneza gari la MOBIUS,

Naona unajifanya huyaoni maendeleo ya jirani zako unashikilia ujinga wa nyumbani kwako,jifunze kutoka kwa jirani yako
 
Vema mkuu wana barabara ya njia sita wana treni yamwendo kasi mombasa Nairobi wana fly over wana demokrasi ya siasa uhuru wa mahakama bado huoni kuwa wametuacha angalia hata fedha yao kwa dorali penye ukweli uongo hujitenga mkuu
Kweli tupu mkuu
 
Suala hapa ni pongezi kwa wenzetu wa Kenya kupiga hatua ya kutengenza gari yao wenyewe
Ndo nmekuswalika nchi yako haijawah hata kuwa na jema moja maana umesema hakuna cha kusifia
 
Kwani Kantanka la Ghana stori zake ziliishia wapi. Nchi hata kujitosheleza kwa chakula na mahitaji mengine bado lakini inakimbilia kutengeneza gari. Ajabu hii.
Sio serikali ndio imeunda gari...ni private sector..wenzetu wanaithamini private sector..sio sisi tunaiua
 
Hiv vitu na hii tabia yenu ya kushoboka na vya jiran itawaponza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…