comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Unaonekana wewe MLEVI sanaPole master
Ipi hiyoUngechanganya na Jobo kidogo Mkuu. Unachezea pesa.
Kwa nini bwashee?Unaonekana wewe MLEVI sana
Unaonekana Tu, ID imekaa kilevileviKwa nini bwashee?
Ushalewa bwasheeUnaonekana Tu, ID imekaa kilevilevi
Hii nchi bila kulewa unaweza kuchanganyikiwa, wakubwa WanaznguaUshalewa bwashee
Au sio, nipo na Abdul hapa, dullyboy, NIMWAMBIEJE?Maandishi yako yanonyesha ushachangamka.
Mhmmm wewe dada ๐Mkuu uko wapi nikupe ugoro uchanganye kwenye can?
Ukitaka kulewa kwa mbinu yoyote either polepole au harakaharaka karibu ChamaniMhmmm wewe dada ๐
Nipo home, ushauri wako mbaya sana unataka nizime au sioMkuu uko wapi nikupe ugoro uchanganye kwenye can?
SijakuelewaItajuaaa ladha ya condom na kavuu tofauti yakee
Wanazngua,Hizo safari za Kopo huwa zinabaniwa sana alcohol