comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
- #61
😂😂😂 Ungejua, nakunywa bia kila baada ya miezi 6 au mwaka, baada ya Leo hapa tena mpaka Christmas au pasaka, ishu labda misosi ndio mana silew nimekula kitimoto kilo na ugali ndio nikapiga vituIni lako lishakomaa. Punguza.