comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
- #41
Anza na Safari takeaway SIO Kali, ukizizoea ndio unaenda kwenye za chupa, au Anza na castle liteShida nilivyoanzaga kujifunza nilianza na za aina hiyo ndiyo maana najikuta nashindwa kunywa hizo kali kali