Kiwanda cha Safari beer 🍺 mbona kama mnatubania wateja?

Kiwanda cha Safari beer 🍺 mbona kama mnatubania wateja?

Zile za chupa ukinywa tano Tu unakua umechangamka BALAA, ila hizi Takeaway kama sizielewi hivi, nmekunywa carton nzima lakini nahisi kama nakunywa apple punch

Oya
Acheni hizo basi wazeee
Hivi Leo polepole atakua live?? NIMEWEKA BANDO LA 50K namsubiri

View attachment 3459180
Hata takeaway ya castlelite unaweza kunywa 40 unaishia kusafisha UTI tu
 
Back
Top Bottom