comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
-
- #41
Anza na Safari takeaway SIO Kali, ukizizoea ndio unaenda kwenye za chupa, au Anza na castle liteShida nilivyoanzaga kujifunza nilianza na za aina hiyo ndiyo maana najikuta nashindwa kunywa hizo kali kali
Barikiwa mtumishiNdio hizo, sema situmii kilevi.
Nini hiyoNi Yesu na Malaika wake waniokoeView attachment 3459210
Si ungemuanzisha na bruto๐คฃ๐คฃAnza na Safari takeaway SIO Kali, ukizizoea ndio unaenda kwenye za chupa, au Anza na castle lite
Mkuu umenifanya nitoe nenoOya, Yale makubwa wamefanya kama komoa
Au kama anapenda vitu vitamu akishindwa kabisa basi apigwe two cousins Ile laini kabisaSi ungemuanzisha na bruto๐คฃ๐คฃ
Makubwa ukipiga mawili tuu unaliwaza godoro au k iliyo karibuMkuu umenifanya nitoe neno
Za kopo hakuna kitu
Zile ndogo za chupa hakuna kitu
Yale makubwaaa matofaliiii Babaaaaa ๐
Shida ya wine huwa zinalegeza na kuleweshaAu kama anapenda vitu vitamu akishindwa kabisa basi apigwe two cousins Ile laini kabisa
Tulia askari nikupe mbinuWe hufai
Napenda kula misosi tu.Barikiwa mtumishi
Dogo upo?Mkuu umenifanya nitoe neno
Za kopo hakuna kitu
Zile ndogo za chupa hakuna kitu
Yale makubwaaa matofaliiii Babaaaaa ๐
kwangu misosi firstNapenda kula misosi tu.
Na fegi je?kwangu misosi first
Pombe ni ya 3 ๐ ๐
Situmii kabisaNa fegi je?
Hapo safi, mimi vyote sigusi.Situmii kabisa
Kwa ugoro hapanaTulia askari nikupe mbinu
Acha uogaKwa ugoro hapana
Agiza bolt wako location nakupaHornet Leta ugoro huo tukaripuke
Ini lako lishakomaa. Punguza.Zile za chupa ukinywa tano Tu unakua umechangamka BALAA, ila hizi Takeaway kama sizielewi hivi, nmekunywa carton nzima lakini nahisi kama nakunywa apple punch
Oya
Acheni hizo basi wazeee
Hivi Leo polepole atakua live?? NIMEWEKA BANDO LA 50K namsubiri
View attachment 3459180